Kinana: Lowassa ni Rafiki yangu

Usitake tuongee kila kitu hapa.
Kinana ni MNAFIKI no moja.
Kabla Lowassa hajajitoa CCM alikuwa pamoja nae na Lowassa alikuja kukiri kuwa Kinana alikuwa akimpa taarifa zote na mpaka BAADA ya Kamati ya Maadili na Kamati Kuu kukaa na kukata majina likiwemo jina lake aliendelea kumwambia yeye yupo salama.
Na ndio mana baada ya Lowassa kukatwa Kinana alimpigia simu sana Lowassa lakini hakupokea. Akaanza kumtumia Bashe ili aonane na Lowassa lakini Lowassa akachomoa, na hata JK alimtumia sana Bashe aonane na EL lakini aliwajibu kwamba aachwe apumzike.
Sasa huyo nae ndie unamwita mwanadiplomasia huyo Kinana?? Yuda Iskariote huyo.
Wee mwache aendelee kupenda bia ya Ndovu tu...!!
Forty yale inakaribia...
Kuna General Waitara pale sasa ivi.
 
Hakuna Bunge wala chombo chochote kilichothibitisha kuwa EL ni Fisadi au mwizi. Mmeambiwa muende kwenye vyombo husika(mahakamani) mnaendelea kuharisha humu!! pateni dawa haraka au mtakufa kwa kihoro!!
 
 
kasome maana ya Diplomasia kwanza ndio uje jukwaanni! Yote hayo uliyoeleza hapo juu ni kwa kuwa kama alivyosema mwenyewe. Yeye ni Rafiki wa Lowasaa ndio sababu ya kumtafuta ili anongee naye km. rafiki lakini mwisho wa yote yeye NCHI kwanza au hujamuelewa jamani Dah walimu wana kazi hebu waongezewe mishahara!
 
Duuh
 
Mkuu mbona mimi sikumbuki kama Mzee Kinana alinena hayo?
Zaidi nakumbuka alivyokuwa akimuonya Nape alipokuwa akimsema Mzee Lowassa ktk ile mikutano yao waliyozunguka nchi nzima kabla ya uchaguzi.
Aliwaita oil chafu
 
2020 ata chama kinacho tawala kikiweka jiwe kitashinda. Upinzani unategemea makapi ya chama tawala. Kweli J.K Nyerere aliposema rais bora atatokea CCM hakukosea.Maneno yake yana ishi.
 
Kwangu kamati ile ilifanyakazi nzuri kwakuwa iliundwa na wabunge mahiri kutoka kwenye vyama tofauti. na mmoja wa wajumbe kutoka upinzani alikuwepo Dr slaa. Nakumbuka maMvi alifanya jitihada ili awa honge baadhi ya wajumbe lakini ilishindikana ii ni kwamujibu wa maelezo ya dr slaa.
 
Nani huyo ? Aliyefanya kazi nzuri?
 
Kweli kuandika siwezi ila ujumbe umefika. Baati mbaya mimi si mwandishi. Mimi mhandisi.
 
Ameeleza dhahiri kuna lowassa na Nchi- nahapa ndipo ukweli wa siasa ila sasa isiwe leo Mwanasiasa anasema hivi kesho hivi
 
Hakuna Muislam aogopae kufa, kumbuka hilo.

Ukimuona Muislam anaogopa kufa ujuwe huyo ana walakin.

Kuna mtu anaogopa haki yake? umauti ni haki ya kila binaadam.
Faiza habari za siku nyingi bhana? Za tangu kipindi cha uchaguzi?
Kitambo kweli
 
Kiuhalisia siasa haihitaji uhasama inahitaji kupingana kwa hoja na usawa (kitu ambacho ni kigumu kwa watawala kuwatendea wapinzani ck zote na nchi zote zaidi zaidi ni baadhi ya inchi kujitahidi kutenda usawa na sio kwa 100%)
 
Ki
Kinana ni GURU wa Siasa ...
 
Sikulaumu inawezekana wakati kamati yaBunge iliyoundwa kuchunguza na kutoa mapendekezo ilipokua ikisoma mapendekezo yake baada ya kufanya uchunguzi na kujiridhisha pasiponashaka kwamba maMvi alidokoa mboga labda ulikua hufuatilii mambo ya siasa au una mahaba
Kwa mafisadi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…