BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,058
Wote Ni wajeda. Mmoja Ni Col Na mwingine Ni Sgt.
Daaah halafu nilisahau,ila hizo ni kauli za kisiasa tu...hakufanya personal attack kama wengine.Aliwaita oil chafu
Ungekuwa wewe ungekuwa umeshamrekebisha mtuMboana Mbowe ni rafiki sana wa Kikwete hamlisemi hilo?
![]()
Kila mtu atakufa wao kusema lowassa atakufa haimaanishi wataishi milelelUkiona hivyo anatafuta namna ya kufuta dhambi zake asije akafa kama wenzake, hivi na yeye si yuko kwenye list ya watu waliomuita Lowasa ni mtu wa kufa??? CCM wanakana maneno yao leo! Wote hao waliomnenea Lowasa mabaya ya kifo ujue wako kwenye list, it is a matter of time tu. So far wameshaondoka kama sita hivi so who is next? Kinana mpigie magoti Lowasa
Ndugu, unamaana kuwa Mr. White hair ndo mhusika WA vifo hivyo (6) unavyosema? Na bado Ana list nyingine??Ukiona hivyo anatafuta namna ya kufuta dhambi zake asije akafa kama wenzake, hivi na yeye si yuko kwenye list ya watu waliomuita Lowasa ni mtu wa kufa??? CCM wanakana maneno yao leo! Wote hao waliomnenea Lowasa mabaya ya kifo ujue wako kwenye list, it is a matter of time tu. So far wameshaondoka kama sita hivi so who is next? Kinana mpigie magoti Lowasa
Daa kumbe wanakufa? kwanini umeuliza hivyo?Anaogopa kufa nini na yeye?
Hivi kina msigwa waliwahi kumuomba msamahaLazima mjikombe kwa EL tu...
Kwa dhambi ambazo mlimfanyia... kashfa, chuki, fitina na matusi hamtasalimika kabisa.
Na kwasasa mnavyomwona Lowassa amezidi kuimarika ndio mnapagawa kabisa... kila mmoja anadai yeye ni rafiki yake...!!
The number is too long.. Let's wait and see who is next..!!
Hapo hakuna urafiki, kuna unafiki
![]()
''Ni rafiki yangu, lakini kuna urafiki na kuna nchi. Binafsi nadhani sisi bado ni marafiki. Tangu uchaguzi umekwisha tumeshakutana mara nyingi, tumeshapigiana simu mara kadhaa. Tunazungumza, sitaki kuamini kwamba ana nongwa, na hata kama ana nongwa nitamuelewa. Unajua, kama nilivyosema hapo mwanzo, kuna urafiki wangu na Lowassa na kuna nchi'' - Abdulrahmaan Kinana.
Labda urais wa wasafi, ila mshindi wa Urais wa Tanzania anafahamika na ndiye Rais wa sasa!Mtu Mzima anaomba msamaha kwa mshindi wa uraisi ki utuuzima.
WEWE UNAMUABUDU LOWASA !?Ukiona hivyo anatafuta namna ya kufuta dhambi zake asije akafa kama wenzake, hivi na yeye si yuko kwenye list ya watu waliomuita Lowasa ni mtu wa kufa??? CCM wanakana maneno yao leo! Wote hao waliomnenea Lowasa mabaya ya kifo ujue wako kwenye list, it is a matter of time tu. So far wameshaondoka kama sita hivi so who is next? Kinana mpigie magoti Lowasa
Wewe wasemaWEWE UNAMUABUDU LOWASA !?
Mkuu,na wewe unaiamini hii nadharia?ya kuwa kila aliye mtukana ni lazima afe?unaiamini?Anaogopa kufa nini na yeye?
Mkuu,na wewe unaiamini hii nadharia?ya kuwa kila aliye mtukana ni lazima afe?unaiamini?
Wewe na Lowasa mlijuana wapi?Lowasaa na Kinana hawajajuana mitaani.
Kwani na wewe ulimtukana wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana?Fisadi Lowasa ni chinja chinja!
Duh!!!Lowasaa na Kinana hawajajuana mitaani.
Mh... Kweli faiza sitaki kuamini katika hilo kifo kinaogopeshaHakuna Muislam aogopae kufa, kumbuka hilo.
Ukimuona Muislam anaogopa kufa ujuwe huyo ana walakin.
Kuna mtu anaogopa haki yake? umauti ni haki ya kila binaadam.