Kinana: Lowassa ni Rafiki yangu

Hvi wewe ni bunge au mahakama ndo inathibitisha tuhuma za mtu?,.
 
Itakuwa ndio alimtuma aende akaivuruge chadema... Big up kinana
 
kila mtu ana siku yake ya kufa. naweza kusema wewe utakufa karibuni kwa kua ninaona unaumwa lakini siku yangu ni kesho kwa ajali ya gari. nyie watu mumekaa kigwajimagwajima ovyo tu kazi yenu kukimbiza malisho.
 
Mkuu mbona mimi sikumbuki kama Mzee Kinana alinena hayo?
Zaidi nakumbuka alivyokuwa akimuonya Nape alipokuwa akimsema Mzee Lowassa ktk ile mikutano yao waliyozunguka nchi nzima kabla ya uchaguzi.
Kwahiyo kwa kifupi unataka kutuambia Nape atafuata baada ya nani?? Kama ni baada ya Sitta watu waanze kujipanga mapema.
 
Mbona tunapenda kuzusha uongo! Nimemsoma Kinana mara nyingi kwenye magazeti sio mtu wa siasa za namna hiyo!
 
Na kwamba anajiandaa kujiunga na chama cha Lowassa baada ya kuujua ukweli na kukamilisha mipango yake ya kujiuzulu ndani ya gari bovu.
(Joke)

Hapo kuna mawili,kuna kujiunga na chama cha lowassa au lowassa kuludi kundini kama zamani.na huyo lowasa akiludi ccm ,basi magu 2020 ajipange.
 
Hakuna binadam yeyote mwenye akili timamu anayeogopa kifo. Kwa Mkristo neno linasema "kuishi ni Kristo kufa faida. Kwa kila Mkristo aaminiye.

But hata asiyeamini anajua kama alizaliwa then hatoish milele.

Siyo aleluya ni HAlleluyah.au Haleluyah.
Umekosoa au!? Maana ni ile ile ila umerefusha maneno tu na kuongeza nukuu za baibo
 
Kwahiyo kwa kifupi unataka kutuambia Nape atafuata baada ya nani?? Kama ni baada ya Sitta watu waanze kujipanga mapema.
Hakuna aijuaye kesho yake mkuu,huenda nikawa mimi!
Naogopa kumnyooshea mtu kidole kwa utabiri wa mauti maana kila nafsi itaonja umauti kwa wakati wake.
 
Kweli anagonga Ndovu beer na hivi serikali imeweka jeshi huruhusiwi kugonga wakati wa kazi kwaiyo itakuwa tabu tupu.
Mkuu mbona mimi sikumbuki kama Mzee Kinana alinena hayo?
Zaidi nakumbuka alivyokuwa akimuonya Nape alipokuwa akimsema Mzee Lowassa ktk ile mikutano yao waliyozunguka nchi nzima kabla ya uchaguzi.
 
Oh my God Hivi concept imeeleweka hapo. Kuna Urafiki na Kuna nchi?!?!?! Have you got Kinana's Concept lakini au kurukia tu kuchangia. Hebu rudi kasome juu uelewe maana yake. Mambo mengine si lazima kusema bayana hasa kwa mzee mwenye busara na mwenye diplomasia kama Kinana!
 
Juzi mlikua mnahoji mbona kinana kimya,sasa kaja kwa namna ingine kabisa ya kumsifia lafikiake,anawaambia kua ,nimekaa kimya kwasababu anayoyafanya huyo mtu wenu hatukutegemea na tunajuta kumuweka.bora tungemuweka yuleyule.
 
Hakuna dhambi yoyote, Kinana anamwambia ukweli kabisa urafiki sawa ila ufisadi no
 
Kweli anagonga Ndovu beer na hivi serikali imeweka jeshi huruhusiwi kugonga wakati wa kazi kwaiyo itakuwa tabu tupu.
Hahah jamaa ni Colonel ulikuwa hujui ? Hilo la kuwekwa jeshi kwamba huruhusiwi kugonga mvinyo wakati wa kazi ni sawa na kumpa mjeshi bunduki halafu umwambie ni saa ya ukutani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…