Huyu kinena huyu yan kinena bhana.....kinena safiiiiii.....kinena anatisha
Kinana ni jembeeeee
Tuna imani na kinana
Jimbo la Arusha, Ubungo kuna watu wa kazi wanakuja kuchukua majimbo.
huyu ndie kinana Cute little yellow monkey | PhotoTeh..tehe..anadhani ubunge wa Arusha ni kama kula mahindi nini? Hatujasahau utata wa uraia wake..
Arusha??? Nitahahama nchi akishinda huyo jangili!!
arudishe zile mashine za kufulia mashuka za hospitali ya mt meru ndio tumfikirie
CCM huwa hawakomi kuwatuma mizigo yao na kuwapigia upatu kuwa ni GIANTS..mkapa si mlimtuma Arumeru pamoja na Lowasa...?Bungeni ni mliwatuma Wassira,sijui Pinda,sijui na nani...?Kinana kwa taarifa yenu hajulikani hata na wakazi wa Arusha km ni mwenyeji wa Arusha.Zaidi ya waswahili ambao sasa wanahamishwa mjini kwa kasi..ndio wanaoishi ktk magofu yake aliyowavua wenzie mjini huku akijifanya anawasaidia.
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Kile chama cha wasaliti atagombea nani?lema mwakani atarudia ile kazi yake ya kuiba magari