mcfm40
JF-Expert Member
- Nov 2, 2010
- 4,452
- 3,152
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Du CCM bwana mnapima upepo au nini? Lema anawatisha sanae! Hamuoni vioja km hivi vinazidi kuonesha kwamba mnamuogopa? Juzi chaguzi ndogo kawapiga chini kata zote! Mwombeni Mkapa kabisa labda...
Kinana akishindwa ataficha wapi uso wake? Hivi kati ya kinana na Lowasa nani ni Muarusha zaidi na anafanana na waarusha kitamaduni na kiasili? Nadahani jibu ni Lowasa. Sasa km Lowasa alishindwa kuwaconvince wana Arusha (Arumeru kumpa kura mkwe wake na akaangukia pua iweje Kinana ambaye hana mashikamano yeyote na watu wa arusha?