ZionGate
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 6,370
- 3,006
Atakuwa anaoshea meno ya tembo..hawa viongozi wa ccm ni hatari mno ! Hivi unaiba machine ya kufulia nguo kwa lipi hasa ? Poor Kiongozi !
Atakuwa anaoshea meno ya tembo..hawa viongozi wa ccm ni hatari mno ! Hivi unaiba machine ya kufulia nguo kwa lipi hasa ? Poor Kiongozi !
Kile chama cha wasaliti atagombea nani?
hapa arusha agombee yeyote wa ccm, watu watamchagua, hawa chadema wameharibu mno!
arusha sio kalenga na bagamoyo, kwanza arusha hawaifaham ccm,
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Kinana ni jembeeeee
Halafu akishinda atakuwa waziri wa wizara mpya ya maliasili, utalii na wanyama
Kugombea ubunge ni kitu kingine, na kuwa mbunge ni kitu kingine. Tunamkaribisha sana Arusha aje avune aibu yake. Atatueleza alikowapeleka tembo wetu
Wana Arusha hatuko tayari kuchagua wasomaliHapa Arusha Agombee yeyote wa CCM, watu watamchagua, Hawa CHADEMA wameharibu mno!
Aendee akagombee Mogadishu pamoja na Boko haram a.k.a abakorakamo
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Majangili si akina Kinana..kaacha lini?Ujangili unahusu Nyara za serikali.Baada ya kuww mbunge akaacha akawa jangili