Aliwekewa pingamizi kwenye TUME ya UCHAGUZI na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kupitia NCCR-Mageuzi Makongoro Burito Nyerere kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 kuwa Kinana SIO RAIA wa Tanzania!Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi kwenye serikali ya 1990-95 ya Mzee Mwinyi!
Kabla pingamizi haijaanza kusikilizwa KINANA akajitoa kwenye uchaguzi huo na kupelekea Makongoro kushinda kiurahisi sana!Makongoro aliwaambia waandishi wa habari kuwa USHAHIDI ALIO NAO Kinana hawezi pona!Je karekebisha mambo yake sasa ni raia?
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
kweli
... hata matokeo ya chaguzi ndogo kwenye kata 6 zikiwemo Sombetini & Darajambili [zilizokuwa za CCM] yanakubaliana na tathmini yako!
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Hapa Arusha Agombee yeyote wa CCM, watu watamchagua, Hawa CHADEMA wameharibu mno!

kwa Arusha ccm wanajisumbua,Arusha watu wameshaelewa nini maana ya mageuzi na wanamjua mbaya wao kwamba ni ccmAliwekewa pingamizi kwenye TUME ya UCHAGUZI na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kupitia NCCR-Mageuzi Makongoro Burito Nyerere kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 kuwa Kinana SIO RAIA wa Tanzania!Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi kwenye serikali ya 1990-95 ya Mzee Mwinyi!