Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
Si alitolewa kwa kutokuwa na sifa kisheria....na sasa atakuwa hana sifa kibao ikiwepo ya kimaadili.Mbona Kinana alishakuwa mbunge wa ARUSHA miaka mingi tu ilitopita?
Si alitolewa kwa kutokuwa na sifa kisheria....na sasa atakuwa hana sifa kibao ikiwepo ya kimaadili.Mbona Kinana alishakuwa mbunge wa ARUSHA miaka mingi tu ilitopita?
wana arusha wamemchoka sana lema
Si alitolewa kwa kutokuwa na sifa kisheria....na sasa atakuwa hana sifa kibao ikiwepo ya kimaadili.
act inakubalika sana arusha
Aliwekewa pingamizi kwenye TUME ya UCHAGUZI na aliyekuwa mgombea wa Ubunge kupitia NCCR-Mageuzi Makongoro Burito Nyerere kwenye uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 kuwa Kinana SIO RAIA wa Tanzania!Kinana alikuwa Waziri wa Ulinzi kwenye serikali ya 1990-95 ya Mzee Mwinyi!
Kabla pingamizi haijaanza kusikilizwa KINANA akajitoa kwenye uchaguzi huo na kupelekea Makongoro kushinda kiurahisi sana!Makongoro aliwaambia waandishi wa habari kuwa USHAHIDI ALIO NAO Kinana hawezi pona!Je karekebisha mambo yake sasa ni raia?
mkuuata aje Jk....asipo tumia pesa na jeshi awezi chukuwa jimbo la arusha!!
karibu kinana miaka ya 1990 kipindi ukiwa. Mbunge nilishindwa kuhoji zile mashine za kufulia za mount meru hospital ulizochukua ila sasa ntahoji sana uje na majibu mzee bila kusahahau uhalali wa uraia wako
ata aje Jk....asipo tumia pesa na jeshi awezi chukuwa jimbo la arusha!!