Kinana kugombea ubunge Arusha mjini

Kinana kugombea ubunge Arusha mjini

Hapa Arusha Agombee yeyote wa CCM, watu watamchagua, Hawa CHADEMA wameharibu mno!

kweli
... hata matokeo ya chaguzi ndogo kwenye kata 6 zikiwemo Sombetini & Darajambili [zilizokuwa za CCM] yanakubaliana na tathmini yako!
 
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe

Nini kilichomwondoa kwenye Ubunge tena wa jimbo hilo hilo la Arusha mjini. Wengine hatujasahau.
 
Ndugu zangu ndani JF, kwa Arusha Kinana hawezi kushinda kabisa labda aibe sana na CCM wote whamaie AR! AR sio tabora ao morogoro jamani muelewe hilo kwani ina watu waelewa sana na wajanja!
 
anataka agombee arusha ili awe karibu na mbuga za wanyama?
 
Arumeru kulikuwa na timu mbili na ndivyo upinzani unavoshinda, kwa sapoti ya wana ccm waliokwaruzana kwenye kura ya maoni!
 
Nyie mnataka kumpa presha lema ashindwe hata kula chakula.
 
Ndugu zangu ndani JF, kwa Arusha Kinana hawezi kushinda kabisa labda aibe sana na CCM wote whamaie AR! AR sio tabora ao morogoro jamani muelewe hilo kwani ina watu waelewa sana na wajanja!

mkuu acha kudanganya watu arusha hakuna mwelewa yoyote pengine unazungumzia ujambazi kwahilo la wizi hamjambo.
 
mkuu acha kudanganya watu arusha hakuna mwelewa yoyote pengine unazungumzia ujambazi kwahilo la wizi hamjambo.

unadhani AR sawa na Pwani??? Arusha wanajitambua hawahongeki kwa wali,tshirt na kanga za kijani!
 
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Hata akitaka agombee Urais kabisa.
 
Mmeangalia wooote huko intarahamwe, mkaona poucher ndo anaweza kupambana na Lema! Hii inaonyesha ni kiasi gani lema ni tishio kwa uhai wa intarahamwe Arusha.
 
Teh..tehe..anadhani ubunge wa Arusha ni kama kula mahindi nini? Hatujasahau utata wa uraia wake..
 
Attachments

  • Kinana2.JPG
    Kinana2.JPG
    31.9 KB · Views: 85
Back
Top Bottom