Barongo E
Member
- Apr 10, 2014
- 26
- 7
Wana JF taarifa zikizopo ni kuwa katibu mkuu wa CCM bwana Kinana atagombea ubunge katika jimbo la Lema mwaka 2015,hivyo wagombea wote na Lema mjiandae kisaikolojia,linakuja jembe
Uku ni kukosa hoja! Kama hatuna cha kupost wakati mwingine tuache uwezi mlinganisha Lema na gwiji la siasa nchini Capt. KINANA.