Kinana anahusika na kampuni ya Six Telecoms inayoendeshwa na Rashid Shamte

Wakati mwingine ni vyema kujiridhisha na taarifa yeyote kabla ya kuanza kuchafua watu na kuwahusisha na yale ambayo tunafahamu kuwa yatachafua image yao kwenye jamii na kuonyesha kuwa ni watu wa hovyo na wasiofaa kwenye jamii.

Six Telecom haikuwahi kuwa na sio Kampuni inayomilikiwa na Mzee Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi na wala hana share wala hausiki kwa lolote katika uendeshaji wake.

Ni vyema wakati mwingine mkajiridhisha na jambo kabla ya kuropoka
 
Kinana ndio Board Chairman wa WIA na shareholder mkubwa wako 2nd floor Barclays House, same applies to Six telecoms wako pamoja na Peter N oni ambaye ni mkurugenzi mkuu TIB na ndie aliyekuwa BOT na yale matatizo ya EPA kabla hajateuliwa . PUSH Mobile anae i run ni mtoto wa Tenga sio wa TFF wako fifth floor....FYI push mobile waliomba hilo swala pia ZAIN lakini ZAIN waliwagomea cause hawataki mambo ya siasa though mwanzoni walikubali wakkaanza ona backlash inakuwa kubwa kutoka customers especially international org ambazo hazitaki kupata sms kuhusu mambo ya siasa..Nahabarisha tu
No research No right to speak. Una uhakika na pumba ulizoandika hapo!?
 
Kinachonishangaza na kunisikitisha ni hawa tunaowaita USALAMA WA TAIFA, hivi wanakuwa wapi kugundua hujuma za kijinga kama hizi?
 
Kinachonishangaza na kunisikitisha ni hawa tunaowaita USALAMA WA TAIFA, hivi wanakuwa wapi kugundua hujuma za kijinga kama hizi?
Huna mamlaka ya kuhoji Nyamafu wewe. Haya madudu yanayofukuliwa sasa hivi unafikiri alifanya uchunguzi mkweo!? Na bado awamu hii mtanyooka tu.
 
kinana kumbe ni fisadi namna hii? Nakumbuka alipokuwa mbunge wa arusha alichukua mashine ya kufulia nguo ya mount meru hospital na kujimilikisha ...hafai kabisa huyu mtu hana uchungu na hii nchi
 
:nono::nono::nono: Kinana does not have any shares in Six Telecoms
stop talkin crazy,if konana doesn't own them shares tell us who does..hoja inajibiwa na hoja na kama wewe ni mfanyakazi wa six telecoms arrange tukutane nitumbue jipu sio kumbwela
 
kuna watu mnaamini eti magufuli anaweza kuleta mabadiliko wakati yeye mwenyewe ni.mtuhumiwa wa nyumba za serikali!!ndani ya ccm wana faili lake na hatofurukuta..he is no different.
 
hili liko wazi...baadhi ya wahusika wakuu wa makampuni ya Six telecoms,Push Mobile na Wia wote wako jengo moja..ni Mzee Kinana na Peter Noni....fuatilieni brela na TCRA....and connect the dots..

Katibu hilo jengo mbona kuna mashirika mengi tuu yanayohusika na mambo ya IT. Wia ni kampuni mojawapo ya IT , inayotimia bangwidth zinazouzwa na makampuni yanayo tawanya cable communication (if am not mistaken) za seacom nk. JEE ukipanda ndege moja na mbeba unga name ushakuwa mbebaji ? Tuwache siasa za maji taka , mbona kuna makampuni mengi tuu yanayo deal na six telecom
 
Kwani haruhusiwi kuwa na biashara? Mbona mbowe anamiliki ukumbi wa dansi na hakuna anae jali?
 
Wakati mwingine ni vyema kujiridhisha na taarifa yeyote kabla ya kuanza kuchafua watu na kuwahusisha na yale ambayo tunafahamu kuwa yatachafua image yao kwenye jamii na kuonyesha kuwa ni watu wa hovyo na wasiofaa kwenye jamii.

Six Telecom haikuwahi kuwa na sio Kampuni inayomilikiwa na Mzee Kinana ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi na wala hana share wala hausiki kwa lolote katika uendeshaji wake.

Ni vyema wakati mwingine mkajiridhisha na jambo kabla ya kuropoka

Mods: Angalieni hili ni tatizo mtambuka linaweza kuleta matatizo mengine kwenye hili jukwaa letu.
 
Hata ukiangalia yule jamaa alivyo kuwa anajibu utajua kuna watu nyuma yake. Na alisahau rais sii mzee wa Msoga. Sasa yuko Segerea kwa kiburi chake
 
Back
Top Bottom