Anachokifanya Kinana ni kuwazuia CHADEMA na watetezi wa kuzuia ujangili kuendelea kumtaja kama mmoja wa wahusika wa ujangili ndani na nje ya Bunge kwa kisingizio kuwa shauri liko mahakamani na hivyo kutoingilia uhuru wa mahakama!nia yake si kumfunga msigwa bali anataka haya mambo ya ujangili yasiendelee kuongelewa. mia
Safi sana comrade kinana wamezoea uzushi na uongo ila sasa naona wamepata muarobaini wao
Mbona haya ni mambo madogo sana,wala hata hayaitaji Akili nyingi kujua kwamba Kinana Katibu mkuu wa Ccm tuhuma anazotuhumiwa nazo sio za uongo!
Huu sio wakati wa Ujima kutumia Polisi na Mahakama kuwaogopesha watu wasiseme ukweli. Msigwa ana uhakika na anachokisema.
Mzee wa Tanganyika(MTIKILA) aliwahi kushitakiwa kwa kesi ya kumuita Kikwete GAIDI.lakini Mtikila bado alishinda hiyo kesi. Je Kinana ni zaidi ya Kikwete?
WAUE TEMBO WAO HALAFU HAWASHITAKIWI,LAKINI WAKIITWA WAUAJI WAO WANASHITAKI!.
haitasaidia kuwatua hilo pakacha la mavi ni mapito tu nanyi tunawasubiri pale kisutu kwa kesi ya uhujumu uchumi tarehe 30/3/2015Peleka mahakamani huyu mchungaji kanjanja.
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.Duh! kumbe nyie mkituhumiwa mnaathirika kisaikolojia na inawauma,vp lwakatare wa watu mliyemhusisha na ugaidi mkamsweka mahabusu.......kuweni na haya ccm.....tembo wetu wanakufa kweli na meli zako ndio zinasafirisha meno ya hao tembo pls!Mr Kinana usinichefue eti umeathirika kisaikolojia.
Embu ninong'onezee...""Na wewe unamsaidiaga kupakia hayo majino ya ndovu nii""Mbona unamsapoti kama vile ni halali yeye kuangamiza hawa viumbe!!!??Safi sana comrade kinana wamezoea uzushi na uongo ila sasa naona wamepata muarobaini wao
hapo waanze na finger print
Yaani siku utakapojishitukia na udini wako basi nafikiri utakuwa na michango mizuri humu JF. Udini unakusumbua sana. Ungekuwa na binti basi naomba mwenyezi Mungu aolewe na Mkristu, hata kama ukikataa, ili ujue udini hausaidii.Peleka mahakamani huyu mchungaji kanjanja.
watanzania tuna matatizo ya akili, watu wanashabikia kuibiwa na kuhujumiwa. kwa kitendo hicho na kitendo cha kampuni yake kusafirisha meno ya tembo, ilitakiwa asiwepo kabisa kwenye safu ya uongozi wowote wa chama/serikali.Lazima uwe mpuuzi wa kutupwa na mtu usiyejua hata historia ya huyu mtu. Kinana huyu alihamisha machine ya kufulia nguo iliyoletwa kwa matumizi ya hospitali ya mkoa wa Arusha- Mount Meru Hospital akaipeleka kwenye dry cleaner yake inaitwa Falcon, aweza vipi kuwa msafi? Mtu asiye na huruma hata kwa wagonjwa? Kwa tafsiri rahisi huyu ni muuaji na mbovu mkubwa sana ambaye hana hata sifa moja ya kuwa kiongozi nchi hii.
nashangaa hili haramia mambo ya bungeni tangu lini yakaenda mahakamanimbunge anapotoa kauri bungeni,kauri hiyo kisheria haihojiwi mahakamani,labda tu kama ameshitakiwa kwa kusema nje ya bunge