Yaani siku utakapojishitukia na udini wako basi nafikiri utakuwa na michango mizuri humu JF. Udini unakusumbua sana. Ungekuwa na binti basi naomba mwenyezi Mungu aolewe na Mkristu, hata kama ukikataa, ili ujue udini hausaidii.
Finger Print pamoja na Footprints....
Huyu Kinana hatoki mwaka huu, tutampeleka mahakama ya Afrika Mashariki kama maCCM hayataki kumpeleka mahakamani kwa udhalimu wake na wasomali wenzie kwenye Tembo
Well done kinana,
Hizi sifa za "kitoto" za hawa wabunge wetu lazima ziwatokee puani.
Kinana ni mtu makini sana na kwa muda aliotafakari na wanasheria wake lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.
Well done kinana,
Hizi sifa za "kitoto" za hawa wabunge wetu lazima ziwatokee puani.
Kinana ni mtu makini sana na kwa muda aliotafakari na wanasheria wake lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.
Ameharibiwa tabia?!!!! Kwa hiyo sasa hivi ana tabia mbovu kutokana na Msigwa?!!!
Aidha alizitoa bungeni wakati akiwasilisha hotuba ya Kambi ya Upinzani katika Makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii mwaka 2013/2014. Katika hati ya madai, Kinana anadai kuwa kutokana na tuhuma hizo ameharibiwa tabia yake, uaminifu, hadhi yake kitaaluma na weledi na kumfanya achukiwe na kudharauliwa katika jamii.
Mi nildhani ungeanza na kuishauri serikali yako DHAIFU kumchunguza Kinana....
View attachment 97518
Kinana Strikes Again
Dunia nzima mwizi hapendi kabisa kuitwa mwizi! Utasababisha abadili tabia...