Heri kuwa mchungaji kanjanja kuliko kuwa kuwa fisadi.
Peleka mahakamani huyu mchungaji kanjanja.
Peleka mahakamani huyu mchungaji kanjanja.
Watanganyika bana jangili anaitwa mtu makini.Well done kinana,
Hizi sifa za "kitoto" za hawa wabunge wetu lazima ziwatokee puani.
Kinana ni mtu makini sana na kwa muda aliotafakari na wanasheria wake lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.
nia yake si kumfunga msigwa bali anataka haya mambo ya ujangili yasiendelee kuongelewa. mia
mbunge anapotoa kauri bungeni,kauri hiyo kisheria haihojiwi mahakamani,labda tu kama ameshitakiwa kwa kusema nje ya bunge
Nitachomtahadharisha Msigwa asisikilize kelele za mashabiki kwani msaala huu ni wake binafsi.
Hizi chocheo ni sawa na mashabiki walijazana kwenye lori wakichagiza dereva kuchochea mwendo hali akipata ajali au kushikwa na traffic msaala ni wake dereva peke yake.
Kwa hili jipange vya kutosha na litakuumiza na wewe kisaikolojia sisi wapiga jalamba hatutakuwa nawe sheria ikikubana
umesema ukwel ulio waz kabsania yake si kumfunga msigwa bali anataka haya mambo ya ujangili yasiendelee kuongelewa. mia
Huyu msomali anatakiwa akamatwe yani TEMBO anawaita MBOGO? kwanza atupe hiyo company profile yake! million350?kilimo cha mboga na mwekezaji kutoka kampuni ya nje, lakini tuhuma hizo zimesababisha kampuni hiyo kuvunja majadiliano hayo.
Kinana ni jangili la kufa mtu.......................
Kinana asikimbilie mahakamani, badala yake akafanye yafuatayo kujisafisha mwenyewe;
- aende msikitini akatubu
- apande jukwaani akatubu kwa watanzania
- aende mbele ya tembo akatubu, na kuwahakikishia kuwa hatakuwa jangili tena.
Watanganyika bana jangili anaitwa mtu makini.
Mkuu afanye hii namba3 ndio muhimu, ana laana ya Tembo.
[/LIST]