Kinana amburuza Msigwa kortini

Hata Kama kinana anauza pembe za ndovu ujue jina lake halipo moja kwa moja Hapa msigwa ana mtihani mahakamani wanataka kuona ushahidi sio nasikia Hapa kazi ipo
 
peleka mahakamani huyu mchungaji kanjanja.

amefanya vyema kwenda, uchafu wa mwanzo na kuathirika mwanzo kisaikologia mbona utakuwa na nafuu, anakoelekea ndio anakwenda kujizamisha kwenye tope la uchafu, believe me, na kwa taarifa yako jopo la watu waliobobea kwenye taaluma zao pamoja na wanasheria wamejipanga ku-intervene hii kesi. Watanzania hatuwezi kuchezewa kila wakati na watu wachache, enough is enough
 
Well done kinana,

Hizi sifa za "kitoto" za hawa wabunge wetu lazima ziwatokee puani.

Kinana ni mtu makini sana na kwa muda aliotafakari na wanasheria wake lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.


Lazima uwe mpuuzi wa kutupwa na mtu usiyejua hata historia ya huyu mtu. Kinana huyu alihamisha machine ya kufulia nguo iliyoletwa kwa matumizi ya hospitali ya mkoa wa Arusha- Mount Meru Hospital akaipeleka kwenye dry cleaner yake inaitwa Falcon, aweza vipi kuwa msafi? Mtu asiye na huruma hata kwa wagonjwa? Kwa tafsiri rahisi huyu ni muuaji na mbovu mkubwa sana ambaye hana hata sifa moja ya kuwa kiongozi nchi hii.
 
Huyu jamaa kachemsha Mbaya sema ameamua
Hivi ili kuukwepesha ukweli lakini hii Aibu haita ishia hapa.
Itakuwa kama ile Meli ya samaki
 
Haya yaliyoelezwa hapa ni ya Upande mmoja wa mlalamikaji, tusubiri na mtuhumiwa naye atajibu nini, lakini lazima tutambue kuwa kama Kinana amekuwa affected na skendo hizo na kama zitzkuwa ni za uongo, lazima Msigwa awajibike kadili mahakama itakavyoona yafaa.

Kuhusu kinana kutaka kuingia kwenye biashara na kampuni ya kigeni ni haki kwani hakuna sheria inayomzuia mtu kufanya biashara na raia wa kigeni maadamu awe amefuata sheria za nchi.
 
hata kama mahakama itamsafisha bado sisi watanzania tunaamini kuwa kinana ni Jangiri wa Tembo zetu. Atashindwaje kuhonga mahakama wakati anafadhili CCM?
 
Akiandika kwenye ukaurasa wake wa FACEBOOK Mbunge wa Iringa Mjini ambaye pia ni waziri kivuli wa wizara ya maliasili na utalii Mh.MCHUNGAJI PETER MSIGWA amesema kuwa amesoma habari ya KINANA kufungua mashtaka dhidi yake baada ya kumtuhumu kujihusisha na ujangili na amesema Jopo la mawakili makini lipo tayari kusimamia hilo.
 
ha ha ha mimi naona kinana hapo ndo amechemka kwa sababu nacho jua jopo la mawakili nguri wa chadema watakuja na ushahidi wa kufa mtu...na kufumua mengi juu ya huyu katibu mkuu wa ccm alafu kitu kingine kumbe alikuwa na mchakato wa kuingiza wazungu wengine tena nchini kulima mboga? nacho waomba chadema na msigwa muda ndo huu wa kuisambaratisha ccm na katibu wake na mengi yawekwe hadhalani ili watanzania tujue huu wizi unafanyweje....
Kwa vyovyote majangili hawapendwi na mtu hasa muuaji wa tembo wetu.
Hapa sasa tunasubiri kitimtim cha kesi hiyo.

Kama Msigwa kachemsha atakuwa mchungaji wa kwanza muongo.
Mchungaji muongo huwa ajenti wa shetani.
 
Back
Top Bottom