Kinana amburuza Msigwa kortini

Kinana amburuza Msigwa kortini

kwenye hili sakata issue iko kwenye 'intention' ya mtuhumu na mtuhumiwa na hapo ndipo mmoja wapo anaweza kuanguka hata awe na nguvu kiasi gani!
Yaani ni nani anatetea maslahi ya umma (nchi/haki) na nana anatetea maslahi binafsi!
 
Haya mambo yanafurahisha sana , fahamu kuwa hata Mwigulu alipotengeneza Uzushi wa Lwakatare alijiamini sana, lakini kilichompata kila mtu anakifahamu !
 
Hii ni nzuri sana, ina maana Msigwa akishinda kesi issue itakuwa confirmed kwamba kinana ni adui wa tembo! Usijali msigwa tembo wote wapo nyuma yako kwa kuwasemea ukweli.
 
naona muvi nyingne imeanza, aya tusibiri ila naomba watu waitwe watoe ushahidi, isije kuwa kama hii iliyoisha watu wenye ushahidi hawakuitwa.
 
za bungeni Kinana anakimbiza upepo na kujishushia heshima kama GS wa CCM. Na ikidhhibitishwa mahakamani kuwa aliyosema Msigwa ni kweli?
 
Well done kinana,

Hizi sifa za "kitoto" za hawa wabunge wetu lazima ziwatokee puani.

Kinana ni mtu makini sana na kwa muda aliotafakari na wanasheria wake lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.
Eti kujuta hujui ulisemalo ww, naona una ushabiki wa bila kufikiria...Nipe case hata moja waliyowahi kufunguliwa chadema wakashindwa, au kujuta km unavyosema...Wewe mtu wa nchi gani usiyeamn hata kwa kuona...!!!!!????
 
Tafadhal mzee kinana, kuwa na Huruma maana naona umekusudia kulamba kiinua mgongo chake cha bunge, mil 350 atazinyea wapi hasa ukizingatia Mwakalebela atapewa ubunge wake ulioahirishwa kwa makosa ya kisiasa hapo 2015!

Haramia la kisoma.i
 
Naomba kuuliza hivi ni sawa kwa kiongozi kutoambiwa ukeli?kwa sababu ya dhamana aliyo nayo?
 
Mbona haya ni mambo madogo sana,wala hata hayaitaji Akili nyingi kujua kwamba Kinana Katibu mkuu wa Ccm tuhuma anazotuhumiwa nazo sio za uongo!

Huu sio wakati wa Ujima kutumia Polisi na Mahakama kuwaogopesha watu wasiseme ukweli. Msigwa ana uhakika na anachokisema.
Mzee wa Tanganyika(MTIKILA) aliwahi kushitakiwa kwa kesi ya kumuita Kikwete GAIDI.lakini Mtikila bado alishinda hiyo kesi. Je Kinana ni zaidi ya Kikwete?
WAUE TEMBO WAO HALAFU HAWASHITAKIWI,LAKINI WAKIITWA WAUAJI WAO WANASHITAKI!.
 
Back
Top Bottom