Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Mmh, Siasa za Tanzania bana. "Weka mbali na tembo" ndiyo nani?.Si mimi ninayesema, bali ni maneno yake mwenyewe Peter msigwa kwenye twitter yake. Nimeitafuta Twit yake na kuwawekea hapa.
Ina maana huyo mtu amemtaja kwa jina la "weka mbali na tembo" kwenye polisi file, kama sivyo, sasa Mh. Msigwa anaogopa nini kulisema jina la huyo aliyetajwa kwenye police file.
Habari yake anaileta kwa njia ya kiudaku zaidi wakati yeye ni Mheshimiwa Mbunge anaye QUOTE yaliyosemwa na aliyekamatwa na pembe za ndovu.