Kinana amburuza Msigwa kortini

Kinana amburuza Msigwa kortini

matukio mawili tofauti ya ujangili yote yanauhusiano flani na bw knana. hati iliyokutwa ktk gari lililopnduka likiwa na meno ya tembo...meli iliyo kamatwa ikiwa na meno yatembo ambayo bwn knana ndo anaratibu upakiaji mizigo wa meli hyo kwa tz... kuna cha kusngziwa au kuchafuliwa jna kwel hapo? CCM JANGA LA TAIFA.
 
Naomba utusaidie haya maswali:

1. Je, hiyo tarehe 14 ni ya mwezi na mwaka gani?

2. Je, ni mahakama ipi alionekana hapa Tanzania?

3. Ikiwa maswali namba 1 na 2 hapo juu yamejibiwa, je unaweza kutusaidia ni kesi namba ngapi amepewa?

4. Ikiwa swali la 3 hapo juu litajibiwa, je kesi ipo mbele ya Hakimu au Jaji nani? Hii itasaidia kuondoa mashaka ya taarifa yako.

Mwisho, ili kesi isemwe kuwa ipo mahakamani ni lazima mambo niliyouliza 1-4 hapo juu yatimie, vinginevyo ni porojo za kijiweni.

Pia, sio kweli kuwa kila anayekwenda au kuonekana maeneo ya mahakamani ana kesi ya kujibu au anafungua kesi, vinginevyo, uelewa wa mleta mada, Mr/Mrs HAMMY-D, ni sifuri au kutokujua masuala ya kortini ni sifuri au anataka kupotosha watu ili tuwe sifuri kama yeye.

Period.
 
Kushindwa kwa kinana kweye kesi hii ni kuimalizia ccm kuifukia kaburini. Tusubiri mzee wa kisomali anavoumbuka.

Isitoshe nawasiwasi na mashaka makuu na uraiwa wa kinana inawezekana katokea mogadishu au kisimayu
 
Defense ya defarmation ni ukweli, alicholifanya kinana ni janja ya nyani ili suala hili lisiendelee kuzungumzwa hadharani kwa kisingizio ni kuingilia uhuru wa mahakama kama we Hamida haujui sisi wenye kujitambua tushang'amua
 
Tunaomba hiyo kesi iendeshwe kwa haraka,MAGAMBA muumbuke,..Isiwe kama zile kesi za EPA na Mramba et all...
 
Sasa angefanyeje ilhali keshautangazia umma kwamba asipoombwa msamaha ataenda mahakamani? Hizi tabia za kukimbilia mahakamani zinawahusu CCM wote. Hujiulizi walipata wapi ujasiri wa kuwapeleka mahakamani akina Lwakatare, Kileo na makamanda wengine kwa mashitaka ya ugaidi huku wakijua ni mashitaka ya kutunga? Hiyo ni hulka tu ya CCM kuamini kwamba mahakama ni ya kwao hivyo itawatetea.

Sasa kama Kinana ana ubia na TOLL, na mkurugenzi wa TOLL kakamatwa na pembe za ndovu, kama Kinana anamiliki meli ambazo ndiyo zinaaminiwa kusafirishwa pembe za Ndovu, ni kwa vipi yeye asihusishwe? Kwanini hazijawa meli za watu wengine au bandari ya nchi kavu ya mtu mwingine? Naamini ataifuta tu hii kesi kabla hata haijafika pabaya, maana ushahidi wa mazingira tu unatosha kumtia hatiani.

Kama unataka kutumia hoja hiyo kumtia hatiani bwana Kinana basi nisewe umepotoka, mahakamani kesi haziamuriwi kwa kutumia ushahidi mwepesi hivyo.

Itakumbukwa kuwa Kinana ni shareholder wa hiyo kampuni ya Sharaf shipping, na ukiwa shareholder haimaanishi una husika na day to day operations za kampuni. Kampuni inakuwa na management na shareholder wapo kwa ajili ya ku-finance na ku-enjoy dividends, sasa iweje Kinana ahusishwe na ujangili au usafirishaji wa pembe za ndovu?, hapo wa kuhusishwa moja kwa moja ni watendaji wa kampuni ya Sharaf shipping na watu wa TRA.

Kuhusu mfano wako; pale Bilicanas kuna vijana uwa wanakamatwa na polisi kwa kubwia unga, je nikisema Mbowe ahusishwe na unga kwa kuwa yeye ni mmiliki wa bilicanas utanielewa?, ni sawa sawa na ndege inavyo wasafirisha "punda" au wabeba unga, huwezi kumuhusisha owner wa ndege kuwa yeye ana husika, ila utawahusisha wale wakaguzi wa airport, nadhani umeelewa mkuu.
 
Tumpe hongera Kinana kwa kumfikisha mahakamani huyo mropokaji, kiukweli kwa kuropoka kwake kuhusu Kinana, hata chama changu kilichafuka sana.

Kufungua kesi ni jambo lingine. Na kushinda kesi ni jambo lingine. Kwa ufinyu wa akili yako tayari umesha kuja na hukumu ya kushindwa Mh. Mch. Msigwa! Kwani hukumsikia Mh. Balozi Kagasheki akisema ujangili ni biashara ya baadhi ya wanasiasa walioshika nyadhifa ngazi za juu?

Hata Kinana akishinda mahakamani, T 2015 CDM lazima tuta mng'ang'ania awa fufue ndovu wetu wote walio kufa kwenye mikono yake.
 
Bora leo umeamka na Mh Msigwa baada ya single ya Mh Mbowe na Dr Slaa kukosa mauzo kwa mhindi
 
Umesema kweli kuwa "......sidhani............" Hii inamaanisha haujui kama ambavyo na huyo Kinana uliyekurupuka kumtetea asivyojua wenzake wana taarifa zipi. Sijui wewe kama mleta thread unataka kutuambia kitu gani ambacho wewe haujui ila unadhani tu.

Kwani thread yangu ni hukumu?

Taarifa ni kwamba Msigwa amefunguliwa mashtaka na bwana Kinana juu ya tuhuma zake kuwa Kinana ni jangili. Sasa kinachotakiwa mahakamani ni ushahidi na sio porojo.
 
Kinana hawezi kujiumbua kwa kwenda mahakamani mwenyewe!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama unataka kutumia hoja hiyo kumtia hatiani bwana Kinana basi nisewe umepotoka, mahakamani kesi haziamuriwi kwa kutumia ushahidi mwepesi hivyo.

Itakumbukwa kuwa Kinana ni shareholder wa hiyo kampuni ya Sharaf shipping, na ukiwa shareholder haimaanishi una husika na day to day operations za kampuni. Kampuni inakuwa na management na shareholder wapo kwa ajili ya ku-finance na ku-enjoy dividends, sasa iweje Kinana ahusishwe na ujangili au usafirishaji wa pembe za ndovu?, hapo wa kuhusishwa moja kwa moja ni watendaji wa kampuni ya Sharaf shipping na watu wa TRA.

Kuhusu mfano wako; pale Bilicanas kuna vijana uwa wanakamatwa na polisi kwa kubwia unga, je nikisema Mbowe ahusishwe na unga kwa kuwa yeye ni mmiliki wa bilicanas utanielewa?, ni sawa sawa na ndege inavyo wasafirisha "punda" au wabeba unga, huwezi kumuhusisha owner wa ndege kuwa yeye ana husika, ila utawahusisha wale wakaguzi wa airport, nadhani umeelewa mkuu.

Unatumia nguvu nyingi kutakatisha kaniki!!!!!
 
Ungewashauri na wale waliotajwa na Dr.Slaa, (ile list of shame),pale Temeke-Mwembeyanga nao waende mahakamani,maana kama wamesahau vile.
 
Kufungua kesi ni jambo lingine. Na kushinda kesi ni jambo lingine. Kwa ufinyu wa akili yako tayari umesha kuja na hukumu ya kushindwa Mh. Mch. Msigwa! Kwani hukumsikia Mh. Balozi Kagasheki akisema ujangili ni biashara ya baadhi ya wanasiasa walioshika nyadhifa ngazi za juu?

Hata Kinana akishinda mahakamani, T 2015 CDM lazima tuta mng'ang'ania awa fufue ndovu wetu wote walio kufa kwenye mikono yake.

Ungana na Msigwa ukathibitishe uhusika wa kinana na kufa kwa Tembo wetu.

Kama hujui tu; kwa sasa Msigwa ameiweka CHADEMA kikaangoni kwa maana huo upuuzi alikuwa akiuropoka kwa niaba ya chama chake, hivyo CHADEMA italazimika kuitoa hiyo faini endapo Kinana ataibuka kidedea kwenye hii kesi. Na ikumbukwe, lengo hapa ni kuwaonya na kuwafunza wanasiasa hasa waupinzania kuwa kuropoka kuna gharama yake.
 
Kama unataka kutumia hoja hiyo kumtia hatiani bwana Kinana basi nisewe umepotoka, mahakamani kesi haziamuriwi kwa kutumia ushahidi mwepesi hivyo.

Itakumbukwa kuwa Kinana ni shareholder wa hiyo kampuni ya Sharaf shipping, na ukiwa shareholder haimaanishi una husika na day to day operations za kampuni. Kampuni inakuwa na management na shareholder wapo kwa ajili ya ku-finance na ku-enjoy dividends, sasa iweje Kinana ahusishwe na ujangili au usafirishaji wa pembe za ndovu?, hapo wa kuhusishwa moja kwa moja ni watendaji wa kampuni ya Sharaf shipping na watu wa TRA.

Kuhusu mfano wako; pale Bilicanas kuna vijana uwa wanakamatwa na polisi kwa kubwia unga, je nikisema Mbowe ahusishwe na unga kwa kuwa yeye ni mmiliki wa bilicanas utanielewa?, ni sawa sawa na ndege inavyo wasafirisha "punda" au wabeba unga, huwezi kumuhusisha owner wa ndege kuwa yeye ana husika, ila utawahusisha wale wakaguzi wa airport, nadhani umeelewa mkuu.

Vip kuhusiana na vifaa vya usafirishaji kama vile magari,mikokoten,meli nk vinapokamatwa vikisafisha nyara za serikali kama ilivo kwa meli ya Kinana/mkimbizi wa kisoma, sheria zinasemaje? ukizingatia msomali alikiri meli yake kubeba meno ya ndovu.
 
Mbona mnakimbilia fidia si mpaka ashinde hiyo kesi. Mahakama sio chombo cha maamuzi ya chumbani! Sisi tusubiri tuone hukumu ikoje ndo tushangilie.
So far tuungeni mkono kwenye matembezi ya siku 22 toka Arusha hadi Magogoni kusema HAPANA KWA TEMBO WETU KUUWAW. HAMY-D karibu 24th August to 24th September 2013 saa 1 na nusu pale kwa Magesa Mulongo
Mkuu,

Kwa wanasheria wataelewa hapa, kuna hii ishu inaitwa defarmation, nadhani ndio litakuwa shitaka namba moja kwa mchungaji Msigwa, na utakumbuka kutokana na kashfa hiyo kuwa Kinana ni jangili, ili sababisha Kinana avunje makubaliana na partners wake na ili m-cost si chini ya milioni 300 pesa za Tanzania. Sasa unaweza kupata picha ya hiyo fidia atakayolipa Msigwa kwa Kinana.
 
Back
Top Bottom