Kweli mkuu,
Hakuna gazeti lolote lililotoa hii taarifa, ila ukweli ni kwamba Kinana amefungua mashtaka dhidi ya Msigwa rasmi. Habari zaidi nitaendelea kuweka, na kama kuna mtu anaweza kuzileta pia itakuwa ni jambo jemba kwa maslahi ya wanaJF wote.
Hongera kwa kuanzisha thread HAMY-D ...
haya kachukue buku 7 yako.
Umeambiwa yule mzungu wa TOLL tayari keshakamatwa na ushahidi, na so far kamtaja Kinana kuhusika katika hii issue. Msigwa hajaomba radhi kwa kuwa ana ushahidi wa kutosha kuwa Kinana ni weka mbali na tembo.Kweli mkuu,
Hakuna gazeti lolote lililotoa hii taarifa, ila ukweli ni kwamba Kinana amefungua mashtaka dhidi ya Msigwa rasmi. Habari zaidi nitaendelea kuweka, na kama kuna mtu anaweza kuzileta pia itakuwa ni jambo jemba kwa maslahi ya wanaJF wote.
Mkuu,
Kwa wanasheria wataelewa hapa, kuna hii ishu inaitwa defarmation, nadhani ndio litakuwa shitaka namba moja kwa mchungaji Msigwa, na utakumbuka kutokana na kashfa hiyo kuwa Kinana ni jangili, ili sababisha Kinana avunje makubaliana na partners wake na ili m-cost si chini ya milioni 300 pesa za Tanzania. Sasa unaweza kupata picha ya hiyo fidia atakayolipa Msigwa kwa Kinana.
Kwa hiyo Lumumba imeshapanga matokeo. Mnatapa tapa kama kuku aliyekatwa shingo.Yule mhuni lazima atundikwe
Umeambiwa yule mzungu wa TOLL tayari keshakamatwa na ushahidi, na so far kamtaja Kinana kuhusika katika hii issue. Msigwa hajaomba radhi kwa kuwa ana ushahidi wa kutosha kuwa Kinana ni weka mbali na tembo.
Si kosa lake jamani,so mie nadhani mh Kinana angemsamehe tuu.
Maana viroba wanavyokunywa vimewafanya kua mazezeta na walopokaji!
Sasa angefanyeje ilhali keshautangazia umma kwamba asipoombwa msamaha ataenda mahakamani? Hizi tabia za kukimbilia mahakamani zinawahusu CCM wote. Hujiulizi walipata wapi ujasiri wa kuwapeleka mahakamani akina Lwakatare, Kileo na makamanda wengine kwa mashitaka ya ugaidi huku wakijua ni mashitaka ya kutunga? Hiyo ni hulka tu ya CCM kuamini kwamba mahakama ni ya kwao hivyo itawatetea.Mkuu, sidhani kama Kinana angukuwa na ujasiri wa kwenda mahakamani na kufungua mashtaka kwa Msigwa kama kweli angekuwa jangili au kujihusisha na vitendo hivyo kwa nama yoyote ile.
Msigwa is a redundant politician...
Umeambiwa yule mzungu wa TOLL tayari keshakamatwa na ushahidi, na so far kamtaja Kinana kuhusika katika hii issue. Msigwa hajaomba radhi kwa kuwa ana ushahidi wa kutosha kuwa Kinana ni weka mbali na tembo.
Mkuu, sidhani kama Kinana angukuwa na ujasiri wa kwenda mahakamani na kufungua mashtaka kwa Msigwa kama kweli angekuwa jangili au kujihusisha na vitendo hivyo kwa nama yoyote ile.
Mkuu, sidhani kama Kinana angukuwa na ujasiri wa kwenda mahakamani na kufungua mashtaka kwa Msigwa kama kweli angekuwa jangili au kujihusisha na vitendo hivyo kwa nama yoyote ile.