Kinana amburuza Msigwa kortini

Kinana amburuza Msigwa kortini

Kei anataka kupoteza muda wa majaji ushahidi upo kabisa Kinana ni jangiri
 
[SIZE=4

Kinana anadai kuwa kutokana na tuhuma hizo ameharibiwa tabia yake"
[/SIZE]

HabariLeo
kinana inabidi awe muwazi atueleze kinagaubaga TABIA MBAYA aliyoambukizwa au kufundishwa na msigwa.
 
Baada ya kuikosa kosa kuichoma moto Mijizi dawa yao ni kuiumbua mahakani tuu
 
Yaleyale kina Mahanga vs Msemakweli,,na kina Nimrod Mkono mpaka leo mwendelezo wa kesi sijui unaendaje?
 
kinana ni jangili la kufa mtu.......................
Kinana asikimbilie mahakamani, badala yake akafanye yafuatayo kujisafisha mwenyewe;
  1. aende msikitini akatubu
  2. apande jukwaani akatubu kwa watanzania
  3. aende mbele ya tembo akatubu, na kuwahakikishia kuwa hatakuwa jangili tena.
wewe toka tu huku hapakufai twende cc
 
Aliyasema kwenye kampeni za udiwani kata ya Kimandolu huko Arusha.

Na ukiangalia jinsi jamaa wanavyopiga dili kuanzia kuweka cha juu kwenye mradi wa bomba la gesi hadi ile ishu ya mtoto wa kwanza (First Son) kukamatwa na mzigo kule China na balozi kule kuondolewa na kuwekwa mtu wetu na ishu ya TEMBO wa Kinana unaamini bila mashaka haya maneno ya Nasari
Kweli haya usemayo tena uluyoyaacha ndio mengi mno! Maccm ni zaidi ya ukoo, ni KABILA lote la maccm ndivyo walivyo! Kichefuchefu
 
Kwa Nini USIIPELEKE HIYO KESI SOMALIA unakuja kuifungulia kwetu??? Au kwa vile tembo ni wa kwetu??
Naomba majibu KINENA.
Wote tungekuwa machachari kama watu wa Ntwara asingesubutu kutufungulia kesi wenyewe tena!
 
ha ha ha mimi naona kinana hapo ndo amechemka kwa sababu nacho jua jopo la mawakili nguri wa chadema watakuja na ushahidi wa kufa mtu...na kufumua mengi juu ya huyu katibu mkuu wa ccm alafu kitu kingine kumbe alikuwa na mchakato wa kuingiza wazungu wengine tena nchini kulima mboga? nacho waomba chadema na msigwa muda ndo huu wa kuisambaratisha ccm na katibu wake na mengi yawekwe hadhalani ili watanzania tujue huu wizi unafanyweje....
Unataka kuniambia huyu "jino tembo"ana mradi wa kilimo rahisi cha mbogamboga ambacho kinge mwingizia hela zote hizo ,inamaana ameshindwa yeye na serikali yake kuwaelekeza mradi kama huo wananchi hasa jimboni kwake wawe na mradi kama hu ili kujinasua na umaskini?siamini ninachokiona wajameni yaani wanathubutu kuwanyima fursa wananchi hivi hivi?eemameh!
 
Hapa naona mchemsho aliposema alikuwa anaingia ubia wawekezaji wa kiliomo cha mboga mboga na wawekezaji kutoka nje. nje wapi?????..Duh Katibu wetu mkuu mbona unataka kutufanya punguwani??????? kweli kabisa unataka kutuambia umewekeza kwenye kilimo kwanza??? Jamani watanzania zama za uongo zimeshapitwa na wakati na utandawazi uko juu siku hizi.

Hatudanganyiki!!!!!!!!!!!!.
 
astaghafillullahraadhim.. kumbe hili jangili na kuhiji limehiji??? limejaa dhambi tupu...
haya majitu ndo yanafanya watu watuone waislam kama si watu wema.. jamani nimesikitika jangili nae kuwa alhaji.
chonde ahukumiwe kwa ujangili wake na si ulhaji wake
Hahahaaahahaaaaeeeeeeeee! Mbavu zangu! We mtu huna huruma na mbavu zangu Lo! Hahaaaahhaaaahhaaahhhaaaaaaaaeeeeeee!!
Paka huwa hatucheki lakini leo yamenishinda!
 
Sijui wanasheria wa kinana wamemshauri vizuri... hakuna contradiction kati ya Bunge, Mahakama na Serikali. Kauli za bungeni zinashughulikiwa na kanuni za bunge siyo mahakamani au serikalini.

Mzee kinana, mimi ningekuwa wewe, kwa kweli nisingekubali wadhifa huo ulioupokea. kama kula umekula ya kutosha nasasa ungebaki na heshma yako unayosema umeijenga kwa miaka mingi. Hii damu ya Vijana iko kasi sana na nyakati zenu za Babu yetu Mzee Ml. Nyerere, THUBUTU HII YA VIJANA KWENDA KASI HAIKUWEPO. HUNA NGUVU TENA YA KUPAMBANA NA DAMU HII. Ungewaachia vijana akina Nape, Mwiguru na wezao.... Jiuzuru mzee.. Aibu si kitu chema kabisa..

Napita tu jamani..
 
Labda ni makini kwa mkeo. Mchezee atakurudi wewe vilevile utaunzwa kam sokwe mtu Arabni... Alshabab

Hahahahahaahaaa.....
Aseeee hii mbaya sana.
uploadfromtaptalk1371219348735.jpg
 
Back
Top Bottom