Kinana amburuza Msigwa kortini

Kinana amburuza Msigwa kortini

hakika hi ni janja ya ccm kufikisha hlo jambo mahakamani ili kunusuru kinachosemwa,mana angekaa kimya ingeonekana nia yake ya kuendelea kuwaua tembo.ila kinana mzee mwenzangu kama meli ilikamatwa na mzigo wa meno nawe ndo haswa unayo tuhuma ya kuua tembo tueleweje,eti leo waenda mahakamani,sasa sikiliza pigo la mwenyez mungu linalokufuata sasa,wananch dhuluma hatupendi.majembe ya sheria tunajipanga kusambaratisha mtandao wako,
 
Well done kinana,

Hizi sifa za "kitoto" za hawa wabunge wetu lazima ziwatokee puani.

Kinana ni mtu makini sana na kwa muda aliotafakari na wanasheria wake lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.

uCCM KITU KIBAYA SANA, MTU AKIWA NA JEURI YA PESA ASIAMBIWE KISA ATAKIMBILIA MAHAKAMANI?HUYU NI JEURI YA PESA NA KULINDWA NA CCM LAKINI MBONA WATU TUNAMJUA UOVU WAKE?HATA PESA ZA EPA MBONA ALIKULA
 
Finger Print pamoja na Footprints....

Huyu Kinana hatoki mwaka huu, tutampeleka mahakama ya Afrika Mashariki kama maCCM hayataki kumpeleka mahakamani kwa udhalimu wake na wasomali wenzie kwenye Tembo

Nimeipenda signature yako mkuu. Aliyasema wapi haya maneno ya busara nae Mh. Nasari?
"''CCM ni sawa na UKOO WA PANYA, baba Mwizi, Mama Mwizi, Mtoto Mwizi, Kaka Mwizi, Dada Mwizi, Babu Mwizi, Bibi Mwizi, Shemeji Mwizi, Mkwe Mwizi'' By Joshua Nassari"
 
Nimeipenda signature yako mkuu. Aliyasema wapi haya maneno ya busara nae Mh. Nasari?
"''CCM ni sawa na UKOO WA PANYA, baba Mwizi, Mama Mwizi, Mtoto Mwizi, Kaka Mwizi, Dada Mwizi, Babu Mwizi, Bibi Mwizi, Shemeji Mwizi, Mkwe Mwizi'' By Joshua Nassari"

Aliyasema kwenye kampeni za udiwani kata ya Kimandolu huko Arusha.

Na ukiangalia jinsi jamaa wanavyopiga dili kuanzia kuweka cha juu kwenye mradi wa bomba la gesi hadi ile ishu ya mtoto wa kwanza (First Son) kukamatwa na mzigo kule China na balozi kule kuondolewa na kuwekwa mtu wetu na ishu ya TEMBO wa Kinana unaamini bila mashaka haya maneno ya Nasari
 
Kwa Nini USIIPELEKE HIYO KESI SOMALIA unakuja kuifungulia kwetu??? Au kwa vile tembo ni wa kwetu??
Naomba majibu KINENA.
 
Well done kinana,

Hizi sifa za "kitoto" za hawa wabunge wetu lazima ziwatokee puani.

Kinana ni mtu makini sana na kwa muda aliotafakari na wanasheria wake lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.


Labda ni makini kwa mkeo. Mchezee atakurudi wewe vilevile utaunzwa kam sokwe mtu Arabni... Alshabab
 
Mkuu mauaji ya Tembo sio SIASA, kama mtu anaua Tembo kwa kushirikiana na mtandao wake na serikali haitaki hata KUCHUNGUZA KAMA TUHUMA ZINA UKWELI basi ujue hiyo serikali inanifaika na huo uharamia
Da! umenifurahisha tena na signature yako "''CCM ni sawa na UKOO WA PANYA, baba Mwizi, Mama Mwizi, Mtoto Mwizi, Kaka Mwizi, Dada Mwizi, Babu Mwizi, Bibi Mwizi, Shemeji Mwizi, Mkwe Mwizi'' By Joshua Nassari"
 
Alhaji Kinana ni Mwizi/Jangili na ni Haramia

astaghafillullahraadhim.. kumbe hili jangili na kuhiji limehiji??? limejaa dhambi tupu...
haya majitu ndo yanafanya watu watuone waislam kama si watu wema.. jamani nimesikitika jangili nae kuwa alhaji.
chonde ahukumiwe kwa ujangili wake na si ulhaji wake
 
Utashangaa pale muarobaini mtakaponyweshwa nyinyi ili kukomesha ufisadi na wizi wa mali za walala hoi wa Tanganyika. Yataibuka mengi na mtashangaa wenyewe. Hizi ni dalili za kifo cha lichama la wahuni, wezi na mafisadi wsiochoka kunyonya damu za walala hoi
 
ha ha ha mimi naona kinana hapo ndo amechemka kwa sababu nacho jua jopo la mawakili nguri wa chadema watakuja na ushahidi wa kufa mtu...na kufumua mengi juu ya huyu katibu mkuu wa ccm alafu kitu kingine kumbe alikuwa na mchakato wa kuingiza wazungu wengine tena nchini kulima mboga? nacho waomba chadema na msigwa muda ndo huu wa kuisambaratisha ccm na katibu wake na mengi yawekwe hadhalani ili watanzania tujue huu wizi unafanyweje....
Na nyinyi kwa kurukia mambo na kuhitimisha, ni wapi amesema wazungu? Kwa nini wasiwe wachina? Ebu tulizaneni msirukie habari na kuzihitimisha mnavyowaza.
 
mbunge anapotoa kauri bungeni,kauri hiyo kisheria haihojiwi mahakamani,labda tu kama ameshitakiwa kwa kusema nje ya bunge
Hasa! Ndiyo hiyo ya kuzungumzia nje ya Bunge. Ingekuwa ni ile hotuba yake aliyoitoa Bungeni, Kinana angemezea tu.
 
Wanasheria ni wajanja sana, hakuna hoja itakayokosa maelezo kwao, Kwa hili Mh Kinana anakwenda kujidhalilisha sana. Mambo mengi yatawekwa wazi,at end of day, Wakala wa Meli yupo full responsible kwa mizigo anayoisafirisha chani ya usimamizi wake. Mh Kinana futa kesi kabla haujaumbuka kama IGP Mahita
 
quote_icon.png
By Tume ya Katiba

Well done kinana, ....lazima MCHUNGAJI wa chadema atajuta.

Harufu ya bangi kaliiiii!
 
bado pamoja na umbumbumbu wangu wa sheria,nafikiri ni ngumu kwa Kinana kuthibitishia MAHAKAMA MAKINI aliathirika vipi,kwa mfano labda azalishe BARUA INAYOSEMA WAZI KUWA JAMAA WALISITISHA MRADI KWA KUWA ALIKUWA NA TUHUMA ,na baada ya kusafishwa ataendelea na mradi.Huwezi kuwa umepata hasara kwa mradi ambao haujaanza,NI VILE LABDA MTOTO ANGEKUFA UKADAI ANGEKUWA KATIBU MKUU wa CHUKUA CHAKO MAPEMA,fidia haiji kwa anticipatory costs,kwani mradi usingekuwa na hasara labda?
 
Siku ya mwisho itakula kwako Msigwa na sio chama wala wakereketwa humu ndani ya JF. Kama una evidence that will be great, you have to prove beyond doubt. Kila la heri lakini itakuwa fundisho kwa siku za Usoni. Ukicheza itakula kwako
 
M4C na raia wema TUTAMCHANGIA HIYO PESA IWAPO ATASUMBULIWA;WAZALENDO 3,500,000 tu kila mtu shs 500 =1,750,000,000.00 MSITISHWE KIJINGAJINGA NAMNA HII.kwa uwingi wetu tuna mungu pia na nguvu nyingi!Babu zetu walilemaa watu 1000 mtu mmoja anawatembeza toka DRC hadi BWAGAMOYO?tusilemae!TUKOMALIE HIZI ISSUES!MNAELEWA?kwa pesa hiyo UHURU WA TEMBO WETU UTATETEWA TU!
 
Back
Top Bottom