kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,010
Kina dada zetu mniwie radhi.Naona wengi sana hamjielewi siku hizi,licha tu ya kutoielewa dunia
Nimeona mara kadhaa hata humu mtu anataka mume,anaanza kuweka vigezo kama vya TCU!Mara awe na cheti cha form six,shahada ya kwanza sijui yenye GPA isiyopugua 3.5!Masharti mengi kama mtu anaomba kazi ikulu,mara mweusi mrefu,mwembamba awe na kifua kama cha John Cena,Mpole lakini mcheshi,awe na dini kama yangu,asiwe mnywaji wa pombe na umri usizidi miaka 30!Asiwe na kibamia!
Na kibaya zaidi utaambiwa uwe na kazi ya kueleweka na akaunti mbili mbili kila benki!wewe binti umekuwa TRA?Unataka kuwa mtoza ushuru?
Unaweza ukampata kama wewe ni binti mrembo maana waigizaji wapo wengi,lakini kumbuka siku moja utaja jililia mwenyewe kama chizi!
Mnapenda mapenzi ya kifilipino,mapenzi ya kwenye video,mnasahau kuwa maisha ni halisi na siyo ndoto,badilikeni sasa!Mimi nawaambia kwamba "Kuwa original"mtaishi kwa furaha
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums