Kinadada mtalia sana kwa kutojielewa

Thanks..Nikisema mm utasema nimekuiga..Ngoja nikae kimya
Nikipata nauli nitakuja mjomba ! Ila hili swala tuliangalie kimakini mbona na nyie mkitakavwachumba mnatoa masharti? Mara awe chura, awe tyubu lait, awe chini ya miaka 30 ! Hamwoni kama ni droo game? Wote vichomi
 
Nikipata nauli nitakuja mjomba ! Ila hili swala tuliangalie kimakini mbona na nyie mkitakavwachumba mnatoa masharti? Mara awe chura, awe tyubu lait, awe chini ya miaka 30 ! Hamwoni kama ni droo game? Wote vichomi
Nakusubiri ujue...
Hakuna mtu asiye na vigezo bana..Hata kipofu naye ana machaguo yake teh...Hii ni kwa wote..Sema wadada mmezidi nadhani..
 
Mkuu vitaimana upo? Za siku,aisee,naona unagawa upendo nipe na mimi basi mkuu wangu,ila tu uwe wa moyoni
 
Kina dada zetu mniwie radhi.Naona wengi sana hamjielewi siku hizi,licha tu ya kutoielewa dunia

Nimeona mara kadhaa hata humu mtu anataka mume,anaanza kuweka vigezo kama vya TCU!Mara awe na cheti cha form six,shahada ya kwanza sijui yenye GPA isiyopugua 3.5!Masharti mengi kama mtu anaomba kazi ikulu,mara mweusi mrefu,mwembamba awe na kifua kama cha John Cena,Mpole lakini mcheshi,awe na dini kama yangu,asiwe mnywaji wa pombe na umri usizidi miaka 30!Asiwe na kibamia!

Na kibaya zaidi utaambiwa uwe na kazi ya kueleweka na akaunti mbili mbili kila benki!wewe binti umekuwa TRA?Unataka kuwa mtoza ushuru?

Unaweza ukampata kama wewe ni binti mrembo maana waigizaji wapo wengi,lakini kumbuka siku moja utaja jililia mwenyewe kama chizi!

Mnapenda mapenzi ya kifilipino,mapenzi ya kwenye video,mnasahau kuwa maisha ni halisi na siyo ndoto,badilikeni sasa!Mimi nawaambia kwamba "Kuwa original"mtaishi kwa furaha

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Hehe
Hivi una demu kweli wewe?
Punguza nyeto.
Najaribu kupunguza kitambi.
Nguvu za kiume zitaongezeka.
Wanawake wako wengi sana. Cha muhimu mvuto wako.
Mimi nahisi hauna huo mvuto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom