zimwimtu
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 1,988
- 1,097
binadamu (hasa wadada) huwa hatujui tunataka nini mpaka pale tunapopata kinachouridhisha moyo.
1. kuna mdada namfahamu, alisema vigezo lukuki kwa mwanaume wa maisha yake. (mrefu, mweupe, mwenye kazi nzuri, mwenye masters, mchaga, mlutheri, na bla bla kibao). lakin amekuja kuolewa na mgogo mkatoliki, mfupi mweusi na ana hela ya kawaida. anafurahia maisha kama nini. mume anampenda balaa, mapochopocho kibao, shoping za maana, kila siku anapost namna anavoenjoy maisha.
2. mwingine rafiki yangu, alisema hataki mnene, awe mrefu, msomi na kabila asiwe mzaramo. hilola asiwe mzaramo kafanikiwa lakin mengine holaaa. mwanamke ni mnene, elimu yake form4 tena alifeli, ila anaakili ya maisha hakuna mfano, jamaa anachokipata kidogo anakiendeleza mpaka wamepiga hatua kubwa kwa muda mfupi. Nikimkumbusha jamaa priority zake anasema hakuna mwanamke kama mke wake. kwamba ulikuwa ni ujana tu hakujua alitaka nini.
Ndo nikajifunza kuwa huwa hatujui tunataka nin mpaka tunapopata tunachokitaka.
unaweza pata mwenye vigezo ulivotaja lakin akawa pasua kichwa mpaka ukamkimbia mwenyewe.