Acha tuuu mkubwa wa maadui leo ameamua kusimamia show mwenyewe ngoja awanyooshe leo...kwa vichambo...!Na hili ndo kubwa lao humu.
Ilikuwa ni lazima ajitokeze. Hili jiwe lililorushwa lilikuwa kali sana.
Hahaaaa! You wish! I am at my mid 20s badooo sanaaa! Ila kuwachamba nawachamba vizuri tu.Nlisema watakuja single dada streesed na maisha wataanza kutukanaaa....
Teh teh... wote hao ni 30+ jua lishazamaaa....kaz matusi
Mtume aliwaambia hao wanaofunuliwa wasimpe mtu mpaka ndoaaa, kilichowakumbaaa?hahahah anamtii mtume kwa kufunua watoto za watu na kuwaacha, mwenzake alikuwa anaoa
anajifariji tu, kuna mmoja hapa mtaani 30+ na watoto wake wawili safi, ukimuona muda wote uso umekunjamana, wakiwa wanang'aa wana nyodo hao, age ikienda kila mtu mbaya wakeAnayo ? Hiyo kitu kidogo? Khe heeee kheeee... mkuu hi vita na 30+ single dada ni vita ya nne ya dunia
Happy new year lara 1....Hahaaaa! You wish! I am at my mid 20s badooo sanaaa! Ila kuwachamba nawachamba vizuri tu.
Hahaaaa! You wish! I am at my mid 20s badooo sanaaa! Ila kuwachamba nawachamba vizuri tu.
Na uzuri ni kwamba Mungu hachoki kutusikiliza. Namuheshimu sana huyo aliye desperate afu akakimbilia kwa Mungu, kuliko atakayekimbilia kuolewa out of desperation. Anayekimbilia kwa Mungu amechagua fungu jema sana and she is never going to be disappointedAhaa haaa.....yes. but kuna wale hawajafika thirty but wapo stressed na disperate....
Ila mtoa mada anataka hawa wadada waende wamlilie nan? Jamn...
Wakat maandiko yanasema tumpelekee mizigo nayeye atawapumzisha...?
Dada mtumishi
Dida ni mmoja ya wanawake wa shoka.Hahaha huu mfano nimeupenda, ana mtoto kaachika mara 3 na bado anaolewa ya nne, kuna ambao wamejitunza na hawajui hata wataolewa lini?hata wa kuwaambia "dada hujambo" hamna, kwenye maisha kila mtu kapangiwa fungu lake, let people be
KAMA MUNGU ANASAMEHE WHO ARE YOU TO JUDGE? Unajivika umungu kijanja eeeeh? Ingekuwa hivo dini ingekataza mwanamke asie bikra asiolewe. Ila imetoga GO AHEAD! Hapa mpreaaa mperaaa tu. Warereeeeeeeeeeee!Oh ila ni kwenye mafundisho ya kiislamu waumini wana amini ni bora asidhini hapa duniani ili akakutane na virgin 70 akhera ,wondeful narudia tena Virgin ,sio vitu vilivyotumika vibaya kwenye ujana wao , kazi kulia na Mungu ,bora hata Ghadafi walau alitimiza hayo akiwa hai kuwachagua wanawake bikira kuwa kwenye buble ya walinzi wake
Au Ghadafi hakua muislamu safi ?
unajua sijaelewa hili jiwe limekupata wapi, kichwani, mgongoni au wapi, limekuumiza kwelikweli teh teh tehMtume aliwaambia hao wanaofunuliwa wasimpe mtu mpaka ndoaaa, kilichowakumbaaa?
Ndo nishakunya sasa na kuharisha umomo. Wanaume wenyewe mnaochonga vikopo tu vya chooni. NA NAFUNGUA MWAKA NA HUU UZI RASMI.
Kweli kabisa...Na uzuri ni kwamba Mungu hachoki kutusikiliza. Namuheshimu sana huyo aliye desperate afu akakimbilia kwa Mungu, kuliko atakayekimbilia kuolewa out of desperation. Anayekimbilia kwa Mungu amechagua fungu jema sana and she is never going to be disappointed
Ahaa haaa.....yes. but kuna wale hawajafika thirty but wapo stressed na disperate....
Ila mtoa mada anataka hawa wadada waende wamlilie nan? Jamn...
Wakat maandiko yanasema tumpelekee mizigo nayeye atawapumzisha...?
Dada mtumishi
Na uzuri ni kwamba Mungu hachoki kutusikiliza. Namuheshimu sana huyo aliye desperate afu akakimbilia kwa Mungu, kuliko atakayekimbilia kuolewa out of desperation. Anayekimbilia kwa Mungu amechagua fungu jema sana and she is never going to be disappointed
Yani huwa naassume tu Mungu angelikuwa ni mwanadamu khaa, sijui kama kuna ambaye angebaki hai leo. Wote tunatenda dhambi au kuna mahali tunakosea, but tunataka tu makosa ya wenzetu ndo yawe judged na kutolewa adhabu. Ila sisi tukikosea, tunaomba second chance mweee. Na huwa tupo busy kweli kuombea wenzetu karma iwarudie teh, ila ndo hivyo tena. Wote tunaishi kwa neema tuKweli kabisa...
Tutaongea kuchangamsha genge but all in all wanaomkumbuka Mungu na kuamini kwamba ipo siku atarekebisha njia mbovu za enz za ujana wao hao wapo salama zaidi.
Hivi Mungu anasumbuliwa?ga.... mtoa mada bwana daaah kaniacha hoi. Sijui anamuabudu na kumtegemea nan?
Msichoke kumsumbuaa akujibu....!Komaaaa tena koma we no Mungu kwani? Tuache tumsumbue kwani wapi kasema hataki usumbufu ? Hata we unamsumbua vile vile na vitatizo vyako uchwara ... Umeniudhi watu wanasali wewe unaangalia nyonyo zao