Ibra kwa akili zako sikutaki hata utokee number one kwenye Forbes.ha ha ha ha ha! Licha ya maisha kutupiga lakini kwa vibiashara vyangu nina uwezo wa kukulipa mshahara wako mara mbili na huo unaopokea kwa sasa.. Naona kukongoloka kumewaua hata viwango vya uelewa wenu....
Ahahaha silly you!Lala dont you have to respect your vow?Remember after tie the knot you have to love your husband either for the better or for the worse!HAHAHAAAAAAAAAAAAAA! What ia VOW? JUEST MERE WORDS! So you really think if i say i will be yours and your only THAT IS IT? Regrdless of my History as a SERIAL CHEATER, FILTHY LAIR, GREED AND OVER AMBITIOUS. Just because i say some FEW REQUIRED WORDS everything will change? Really!
Nothing will change indeed. The sun will still come out as usual and set as usual and people will exactly filth as before the vow. SPARE ME THE SENTIMENTS NEXT TIME.
Wewe ni sexistmuuliza swali huwa ndio mwenye jibu unaonaje ukajibu hilo swali mpendwa
wew wasemaWewe ni sexist
Hahahaa,you kept reminding me kwamba hiii ni vita...hapo sijarusha makombola nimerusha jiwe tu and I look guilty aaah am bad kwakweli...Mhhmhhh sijawahi kukuona kwenye hali hii.....
I've got a thick skin....no sijawahi tu kukuona mada imekugusa namna hii...umekuwa so offended im surprised...maybe im wrong.Hahahaa,you kept reminding me kwamba hiii ni vita...hapo sijarusha makombola nimerusha jiwe tu and I look guilty aaah am bad kwakweli...
Stori yako inasaidifu maelezo yako kweli?
Nanukuu; "dada akaopoa jamaa la mtaani. Akazalishwa huko na dozi ya ngumi kila siku, stress hadi akaahirisha mwaka"
Unless by kuopoa ulikuwa unaandika tu na hukumaanisha 'akatafuta urahisi wa maisha/akaendekeza umalaya/akagawa papucci freely/etc'
Then again sijasoma mahali ambapo second chance ilipoingia only kuonesha tofauti ya binti mjanja na jamaa fala wa kijijini ambaye bila kujua alichokuwa akikifanya alitangaza ndoa tu!
Sijaona mahali ulipoandika binti akajifunza kwa makosa yake, regret and repentance, akatulia..akamaliza chuo ..etc etc....
Unless...
Hapana gathered nothing,sikujui hunijui seems nnayoyasema nayapatia mule mule,so mkeo ni screpa kweli??????you seem to have gathered enough info to hit me with...damn it!
ni kweli, wengi wetu maisha yapo so imperfect, that i admit...that's why we are here kujifunza...!!
Hiii imenigusa kwasababu kuna watu wamenishangaza,sikutegemea that's all...na kuna wengine ni vita waliibeba haihusu topic ya hapa,so huwezi kuelewa...jf ni zaidi ya watu wanavyo showoff hapaI've got a thick skin....no sijawahi tu kukuona mada imekugusa namna hii...umekuwa so offended im surprised...maybe im wrong.
Ni macho tu, yako yaweza ona scrap, yangu yakaona kifaa cha ukweli...!Hapana gathered nothing,sikujui hunijui seems nnayoyasema nayapatia mule mule,so mkeo ni screpa kweli??????
Wewe ni mpuuzi kweli, na hiyo ID yako usipoangalia utazeeka ukiwa house girl, Eti huwezi huwezi kuolewa na mbongo, ulimbukeni tu umekujaa, wewe unajua sifa za mataifa ya nje tamaduni zao na maisha yao hadi unadiriki kudharau wanaume wa Tanzania? ndo maana mnataturiwa marinda ya nyuma na kufa wakati mnazaa nyambafu kabisaDisgusting.
Yani me kuishi na mwanaume wa hivi sitaki hata uwe na shingapi kwakweli.
Nilishajua toka zamani ziwezi kuolewa na mbongo.
I need a man with a more developed cognitive abilities. This is too low for me.
Mie sio dokta bana, hizo ni jokes usidandie treni kwa mbele mshenga...teh..,
Kumbe brenda ni dokta, kweli huyu dokta anaijua saikolojia yangu...teeeh!! hawa ndio madokta wetu...
am not arrogant bwana, sina maneno ya dharau wala kejeli...huu ni mjadala tu, we argue in a hard way...
Toa stress zako mwaya, tushaambiwa mapopoma yote kuanzia wewe kwenye hii thread are just loosers in life.....Wewe ni mpuuzi kweli, na hiyo ID yako usipoangalia utazeeka ukiwa house girl, Eti huwezi huwezi kuolewa na mbongo, ulimbukeni tu umekujaa, wewe unajua sifa za mataifa ya nje tamaduni zao na maisha yao hadi unadiriki kudharau wanaume wa Tanzania? ndo maana mnataturiwa marinda ya nyuma na kufa wakati mnazaa nyambafu kabisa
Nimekusoma mshenga, a doctor at failed relationships makes more sense..Mie sio dokta bana, hizo ni jokes usidandie treni kwa mbele mshenga...teh..
Kwa heshima ya mkeo ntaishia hapa,ila ningeweza kukujibu..ntamfedhehesha mwanamke mwenzangu ya nini hayo yote...Nimekusoma mshenga, a doctor at failed relationships makes more sense..
Nimerudia original comment yangu na kugundua your reaction has got absolutely nothing to do na maneno niliyotumia. Ulitamani niandike kwa kutumia lugha yako, unfortunately i am not you.
Hebu elezea hiyo stori in your own words kaka. Ila huyo unaemuita 'fala' nadhani atakushangaa manake yuko happy na mkewe na wanamlea vyema huyo mtoto aliepatikana katikati ya mahusiano yao. Unataka nini? Sijakuelewa
Kumfedhehesha mtu usiyemjua sio kazi rahisi, unless unamjua au una hints kumhusu...Kwa heshima ya mkeo ntaishia hapa,ila ningeweza kukujibu..ntamfedhehesha mwanamke mwenzangu ya nini hayo yote...
Hao Ndugu wanastress balaa msiletee masihara kabsa, apo ndo kumi nambili jion io usiku unakarbia anasali 24/7 afu unaleta post kma hio lazima akuchambe