Kinadada acheni kumsumbua Mungu

Ama kweli..........
Now i get it!!
Hao Ndugu wanastress balaa msiletee masihara kabsa, apo ndo kumi nambili jion io usiku unakarbia anasali 24/7 afu unaleta post kma hio lazima akuchambe
 
I'm done.
 

Kisicho na haya kila siku kuchungulia nini??!! Ha ha ha ha ha we kiboko!
 
Grudges are vividly seen. Rejea majibu yako kwangu. Mmechukua kila comment za watu very personal, hadi kuwasemea wanetu ambao bado wapo kwa mbegu zetu, that's being personal.
Kwakweli have no grudges kwako unajihisi tu,sasa ilo ni tatizo lako am over it believe me or not and I consider we good...
Kuhusu kuwasema wanenu hata sisi ni watoto wa watu,zaeni wa kwenu muone kama kulea ni rahisi na wakishakuwa mshuhudie wanavyokuwa mascrepa,teh chezea mtoto wa kike wewe,subiri wako antakavyoanza kukitembeza utarudi kufungua thread tena....hiii ni vita si ulisema au umesahau mapema...maana kuelimisha hamtaki mnataka kurusha tu mawe....
 
Ahahaha hata wewe ukigonga 30+ utatuliza boli tu na utasikia bila hata kuulizwa"baby Malafyale kama upo home kwako Manzese nije kulala?

Hapo huwa nacheka sana najua tayari kafikisha 30+ huyu na ngoma ni bila bila!Tunakusubiri bana ukifikisha 30+
Huyo lala1 akija kwako kikolo ataondoka na hela zote za kula mwezi mmoja na kukuachia deni zito SACCOS huyo ni mtata,biashara zake zote ni za maslahi.
 


Stori yako inasaidifu maelezo yako kweli?

Nanukuu; "dada akaopoa jamaa la mtaani. Akazalishwa huko na dozi ya ngumi kila siku, stress hadi akaahirisha mwaka"

Unless by kuopoa ulikuwa unaandika tu na hukumaanisha 'akatafuta urahisi wa maisha/akaendekeza umalaya/akagawa papucci freely/etc'


Then again sijasoma mahali ambapo second chance ilipoingia only kuonesha tofauti ya binti mjanja na jamaa fala wa kijijini ambaye bila kujua alichokuwa akikifanya alitangaza ndoa tu!

Sijaona mahali ulipoandika binti akajifunza kwa makosa yake, regret and repentance, akatulia..akamaliza chuo ..etc etc....

Unless...
 

mdogo wangu wee...wengine hawana hata dada! waache waongee...punguza Munkari!!!!
 
Huyo lala1 akija kwako kikolo ataondoka na hela zote za kula mwezi mmoja na kukuachia deni zito SACCOS huyo ni mtata,biashara zake zote ni za maslahi.
Lala1 hawezi nipenda mm mrondo!Huyo anawapenda kama nyie bana wenye kazi nzuri
 
tutaongea Yote na Kusema kila aina ya maneno lakini ukweli utabaki pale pale.. Huwezi kufanya dhambi kwa makusudi kwa kutegemea kutubu.. Mungu humpa mtu kile alichokiomba kwa wakati sahihi na Sio wakati ambao unauhitaji maalum. Wakati sahihi ni wakati ule ambao unakila aina ya nguvu, akili, maarifa na kutambua kila aina ya kitu.. Kuwa katika maisha Ya sio na dhiki wala Shida. Unapesa na maisha yanakuendea sawa. Hapo hata ukiomba Mungu ni Rahisi kuyasikia Maombi yako. Muda Usio sahihi ni Ule muda ambao umefanya kila Aina Ya Uchafu tena kwa makusudi na kutambua kuwa unachokifanya si sahihi lakini ukaendelea kufanya hapo hata utakapo kuja kumuomba Mungu bado atavuta Subira Ya kupokea Maombi Yako ili kukupa muda wakujifunza kupitia Mateso unayopitia.

Dada Zangu tukubali na tukate nyie ndio Jinsia Inayotenda Dhambi kuliko jinsia Ya kiume. Niwakati wa kujiuliza na kuangalia wapi ambapo umetokea na Wapi ambapo mnakwenda. Mmekuwa kama Wakimbizi katika Nchi Yenu sababu ya Baadhi Yenu kutokujitambua

mmekuwa mkiwadhalilisha mama zetu kwasababu ya upuuzi na matendo Yenu mnayoyatenda. Mmekuwa mkiwafanya wanawake waonekane wote hawana akili kutokana na kutokujitambua kwenu.

Mmekuwa starehe kwa wanaume wasio na mipango na nyie... Mmekuwa vyombo vya kumwagiwa Uchafu kwa kutokujitambua kwenu Huku Wengine Mkijiona Wajuaji.

Muda wenu wa kuleta mapozi ukiisha mnakuwa wapole na Wanyenyekevu kwa kila mtu.. Mnatambua uwepo wa Mungu na mnatambua Rehema Zake..

Unapoumbwa kwa Mfano wa Hawa na Mwenyezi Mungu Hakukuumba uje uwe Shimo la Taka... Mmeumbwa muje muwe mapambo ya Dunia.. Washauri wazuri kwa Wanaume Zenu.. Lakini kinyume chake mmekuwa tofauti na Matarajio Ya Mungu... Mmekuwa Tofauti na Maandiko Matakatifu... Tumeambiwa tukumbashane tunapowaona Wengine Wanapotea nami nipo hapa kuwa kumbusha nyie ya kuwa usisubiri ukongoloke ndio uanze kutambua Uwepo Wa Mungu.

BORA UKWELI UNAOTESA NA KUKUUMIZA

KULIKO UONGO UNAOKUFURAHISHA NA KUKUPA FARAJA
 
Yani huo mstari ndio wanaume wameushika...
Mistari mingine hawaioni kama wanaikosea..alafu tafsiri zao sasa mimi ndio nachoka kabisa..
 
Sawa sista, kuwasemea sio lazima mtu awe na qualifications za kuwasemea, either kujifunza culture yao ukiwa nao au kwa njia ya kusoama.
Hivi comments zangu zinaonyesha najiona najua kila kitu...lol
Teh, zinaonyesha how empty your glass is rather than how full should your glass be..serious trouble ni either una stress zako zinakutatiza ambazo zinahusiana na relationship, hapa utakataa lakini jitafsiri kuna shida sehemu pengine hata we mwenyewe hujajua...
 
Hahahaa daah...
 
Lala1 hawezi nipenda mm mrondo!Huyo anawapenda kama nyie bana wenye kazi nzuri
Naamini.hata mwili wake ulishakufaganzi swala la kupenda mtu kwake halipo.ni.kusaka hela na kuwekeza akifikisha fainali atatoa nafasi kwa kopo la chooni litamalaki.
 
Naamini.hata mwili wake ulishakufaganzi swala la kupenda mtu kwake halipo.ni.kusaka hela na kuwekeza akifikisha fainali atatoa nafasi kwa kopo la chooni litamalaki.
Akikusikia itakuwa padogo hapa shauri yako
 
mdogo wangu wee...wengine hawana hata dada! waache waongee...punguza Munkari!!!!
Kaka angu inasikitisha kwakweli, ndio maana nimewauliza hawana watoto wa kike wakipata wataelewa wanachoongea hapa ngoja niwapishe warushe hayo mawe
Hapana kwakweli kuna wanaume ni tatizo,ngoja tu tufike 40+ kuliko kuangukia mikononi mwao
 
It's possible, you may be right Brenda...my marital life is in shambles asee..teh!!!
.your comment sums it all mshenga!! relax then tujadiliane, acha kupanic!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…