Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

Hii sio haki kabisa.

Kwangu anabana. Eti mpaka ndoa.

Kumbe kuna boya linakula wakati mimi nawekewa vimulimuli.

Yaani unaweza ukaua mtu hivihivi na usijutie Lolote.

Anayepewa usimwite boya muite mjanja halafu wewe unayebaniwa ndiye boya.
 
Chief! So Unanishauri Nimuache Bure ?
Noo....Hilo Halitafanyika Kamwe
Lazima Tushee Haya Maumivu

Majigo Kaka, visasi havifai muache tu mtu anahonga gari na anaacha. Ila ajue tu malipo ni hapa hapa duniani. Achana naye kwani bila yeye maisha hayaendi muache amegwe tu ataone faida yake baadaye.
 
Hahahahaha.....pole mtoa mada wadada wengine washenzi aisee mi nadhani labda we hakupendi na hana future na wewe vinginevyo asingekunyima af akagawe kwingine

Nakumbuka Ilikuwa Vita Kubwa Pindi Nilipomlazimisha Yale Mambo, Alilia Na Kusema kama Namuheshim Na Kumjali....Tufanye Ndoani
Nkaona Haina Kesi!....Lakini Kumbe Ananizunguka!
 
Chief Eli79.... Hela Ya Kumhandle Nnayo
Mission Nyingi Nimemsapot
Nashindwa Kuelewa Nini Kinamsumbua Huyu Kiumbe
Amenifanyia Unyama Wa Karne
Nami Lazima Nimfungie Kazi
Ahsante Sana Chief
Pole sana. Narudia tena hakuna haja ya kulipa kisasa. Miss chaga njoo huku my dear; Kaka Majigo ameumizwa au uko safarini kuhesabiwa nini.
 
Pole na we mmege Dada wa huyo aliyekuimbia..Haipunguzi maumivu Ila inaleta heshima

Sasa Hapo Nimempaisha Au Kumshusha!!?
Nikitoka Na Dadake Atafurahi Kupata Shem Wa Kuoa
Huyu Ni KumTafutia Sniper Mashine Tu!
 
Punguza munkari dogo. Michuchu kibao imejaa kitaa inataka kuolewa. Piga chini hiyo Fiat 682N3 kamata Iveco uchape mwendo.

Hahahahah
Umenipa Matumaini Sana Na Nikajua Kumbe Bado wako Wengi Wanayoitamani Hii Nafasi!?
Ahsante Sana Chief!...Nitafanyia Kazi Ushauri Wako!
 
kwan yeye ni nan mpaka unataka kulipiza?ni mzur kias gan? mm ningekuwa wew ningechukua dem
mkali nikamuweka standard akaishia kukutolea udenda thats all. be
gentle jiamin

Unajua Kinachoniumiza Ni Kuwa Nimefight Sana Kuweka Mambo Yake Sawa
Kwa Hili Kaonesha Dharau Kubwa Sana...Dudu Yangu Niliikonektia Kwake lakini Mwenzangu Kashindwa Kuitumia Katoa Kwa Mwingine!
Nikitafuta Mwingine Mkali Bila Kumpa Funzo Huyu...Ataniona Hamnazo!
 
demu ukimletea ntakuoa ntakuoa ndio anavokufanyia. Cha muhimu ni kumueleza tu kama tumekubali kuvaa jezi kwa nini tusicheze mpira

Nilifanya Hivi Nikizani Nalinda Heshimma Yake Kama Alivyodai
Sasa Nimejifunza ; Sifanyi Tena Huu Ujinga!
 
Hii sio haki kabisa.

Kwangu anabana. Eti mpaka ndoa.

Kumbe kuna boya linakula wakati mimi nawekewa vimulimuli.

Yaani unaweza ukaua mtu hivihivi na usijutie Lolote.

Ha ha ha Mkuu.. With all respect hapa nani ni boya kati ya yeye na wewe..?
 
Inauma sana kaka, we jisepee mdogomdogo.

Your perfect match is somewhere waiting for you.
 
ha ha ha Majigo once again...
una bahati mbaya na madem, mara unyimwe mara pedeshee akugongee ha ha ha

Unajua Evelyn Salt....Unanikumbusha Machungu
Utazani Mazuri Yalonifika Kakayo.... Unancheka Tena!....
Hebu Nipe Ushari Kuhusu Huyu Boya Aliyekula Mali Ya Watu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom