Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,408
- 96,738
Mimi sio mkuu. Mimi ni babu. Ntake radhi.Hapo kwenye siku umekosea mkuu
Mimi sio mkuu. Mimi ni babu. Ntake radhi.Hapo kwenye siku umekosea mkuu
Washamba nyie, hamjui kuwa wenye pesa ndio wanagongewa? Wako bize na kuzitafuta wanasahau malove na ambao hawana hizo njuluu za kununua hayo ma VX yenu wanakula kiulainiii!
Yah! Hilo Ndo Linalofata ...Ila Nataka Nimuachie Sign Ili Hasicheze Tena Na Akili Za Watu Ka Mimi
Au Unaonaje Chief Mtoto halali na hela
uko Sahihi Kabisa chief mankachara...Sasa Nimpata Funzo