Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,831
- Thread starter
- #21
Sio utani inauma sana. Na hyo ndio tabia ya wanawake wengi,,,
ukiona mwanamke wa hivyo haina haja ya kuweka kambi hapo.
Hapo na ww ni kumfariji tu kuwa utamuoa ikibidi peleka hata posa kwao lakn wakat huku ww ukitafuta mke mwingne wa kuishi naye. Siku ya siku anashtukia mwenziye yuko ndani. Unamwambia tu nilichoka kukaa na ugwadu wakat wenzangu wanapewa bure tena bila mashart
Vizur Sana Chief, Ila Kwa Huyu Shetani; Sihitajiki Kuzunguka Kote Huko
Just Short Cut
Stay Tune Chief
Hawa Viumbe Dawa Yao Ndogo