Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

Kinachoniuma si kunicheat, bali kumpa kile unachoninyima mimi

Mh! Kumbe Kauli Mbiu Inahusika!...Sikulijua Hili
Hahahahah....Umemaliza!.....kauli Mbiu Eeh?
Hapa Inabidi Nijitathmini... Si Bure
Yule Naye Nilimlia Ngumu Akaenda Sawa Na Bendi...Ikaazna Kuniuma Mimi Tena!.....Ah!...Hapa Kauli Mbiu Ndo Msingi!

Katika hiki kipindi cha mpito hebu kuwa na madem wawili au watatu, mmoja atakuua na presha ujue ona ulivopungua hadi mashavu yamepungua huko nyuma hukua hivo
 
Hii sio haki kabisa.

Kwangu anabana. Eti mpaka ndoa.

Kumbe kuna boya linakula wakati mimi nawekewa vimulimuli.

Yaani unaweza ukaua mtu hivihivi na usijutie Lolote.
sasa wewe si umeambiwa mpaka ndoa?kwan alikwambia hatagawa?mkataba wenu haujavunjwa bado upo
 
Mimi nakupendaga bure kwa micomment yako teh teh teh teh
Na mimi nakupendaga sana kwa jinsi ulivyo. Yani kwa kuangalia mwandiko wako wallah lazima utakuwa ulizaliwa usiku.... hii inamaanisha tendo la ndoa lililokuleta duniani wazazi wako walilifanya siku ya ijumaa wakati mvua inanyesha.
 
Hahahahaha.....pole mtoa mada wadada wengine washenzi aisee mi nadhani labda we hakupendi na hana future na wewe vinginevyo asingekunyima af akagawe kwingine

Hivi kamyima nini mbona sijaelewa
 
Hivi kamyima nini mbona sijaelewa

kanyimwa tendo la ndoa....kaambiwa mpaka wakifunga ndoa ndiyo atapewa tunda......sasa kumbe kuna mtu ana mega kisela......ndicho kinachomuuma......yeye kunyimwa na mwingine kupewa.......
 
kanyimwa tendo la ndoa....kaambiwa mpaka wakifunga ndoa ndiyo atapewa tunda......sasa kumbe kuna mtu ana mega kisela......ndicho kinachomuuma......yeye kunyimwa na mwingine kupewa.......

Asante sister naomba kuuliza safari hii tu...kumega kisela ndo nn? Kama kumega mkate?
 
Last edited by a moderator:
Kutokana na maelezo yako mkuu, samahani sana lakini nimeona kama wewe ndio boya, hivi kweli ulimwengu wa leo utahudumia kila kitu bila kuona ndani kweli? Mkuu we boya, wanaokupa moyo wanakufariji tu ili uondelee kuumia mwenzio anajilia kiulaini
 
Hii sio haki kabisa.

Kwangu anabana. Eti mpaka ndoa.

Kumbe kuna boya linakula wakati mimi nawekewa vimulimuli.

Yaani unaweza ukaua mtu hivihivi na usijutie Lolote.

Acha kuendekeza ulofa wewe, kwani wamekwisha hao?
 
Kutokana na maelezo yako mkuu, samahani sana lakini nimeona kama wewe ndio boya, hivi kweli ulimwengu wa leo utahudumia kila kitu bila kuona ndani kweli? Mkuu we boya, wanaokupa moyo wanakufariji tu ili uondelee kuumia mwenzio anajilia kiulaini

Bora umewambia ni nadra sana kukuta mwanamme anayejali unawekwa pending.
 
Na mimi nakupendaga sana kwa jinsi ulivyo. Yani kwa kuangalia mwandiko wako wallah lazima utakuwa ulizaliwa usiku.... hii inamaanisha tendo la ndoa lililokuleta duniani wazazi wako walilifanya siku ya ijumaa wakati mvua inanyesha.

Hapo kwenye siku umekosea mkuu
 
Washamba nyie, hamjui kuwa wenye pesa ndio wanagongewa? Wako bize na kuzitafuta wanasahau malove na ambao hawana hizo njuluu za kununua hayo ma VX yenu wanakula kiulainiii!
 
Tafuta ela nakuakikishia hutakuja na uzi kama huu tena
tafuta kisuu kwanza
 
Boya yeye au wewe? wabongo kwa kujifariji! unakaa na wife kibarazani anapita jirani na gari wife anakwambia baba flani jirani kanunua gari wewe unarahisisha "majizi hayo usiyaone hivyo.

😃😃😃😃😃😃😃😃
Loh huu ujumbe wako kiboko
 
Back
Top Bottom