Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Kinachomuuma zaidi ni kwamba hawezi tena kusafiri kwasababu aliufanya urais kama kiuza sura tangu alivyoingia alikuwa ni mtu wa kuuza sura tu.
lakini Sasa hivi urais umekuwa msumari wa moto tofauti na hapo awali na bado anaendelea kuharibu na kujiongezea kesi za kujibu kwasababu washauri wake ni akina kingwendu kingwendulile.