Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

unataka kumlazimisha afanye uyatakayo wewe??
 
kwa nini usianze kunawa kisha unye [emoji351] [emoji351] [emoji351] [emoji12]
nimesha kufundisha sanaa iliyo bakia ni kukujibu kisilamu silamu [emoji38]
Hebu nioneshe ulichonifundisha zaidi ya kunionesha kuwa humjui unaemuabudu 😀 Mungu alipompa mtihani Ibrahimu alikuwa hamjui kipindi icho?

Huwezi kufananisha Najis na Binaadamu, hata mifano hujui kutoa masikini... Naona unaongea kikiristo, ukishaishiwa hoja unaanza kupuyanga.

Kwanini Yesu hajakupeleka peponi moja kwa moja na amekuleta duniani? Kwa mfano wako inabidi Mungu amekuleta hapa ufanye uchafu wako kisha ndio akupeleke peponi 😀 😀 😀 😀 😀
 
kati ya maswali ambayo huwa sijiulizi mojawapo ni hili
 
nikujibu mara ngapi kwamba Mwenyezi hakuna asicho kijua [emoji123] [emoji106] kabla sijaendelea jee unakubaliana na mimi?
 
nikujibu mara ngapi kwamba Mwenyezi hakuna asicho kijua [emoji123] [emoji106] kabla sijaendelea jee unakubaliana na mimi?
Unataka kwenda wapi? Mwenyenzi anajua kila kitu.

Nilipotoa mfano wa kuwa Mungu anawajaribu watu wa Syria, Ukaniletea aya kwenye Biblia inasema Mungu hajaribu mtu, na pia ukasema kwani Mungu hakujui ata akujaribu.

Nikajua najadiliana na mtu asiekuwa na elimu, kutoka kwenye bibilia hio hio nikakuletea aya ya kukuonesha kuwa Mungu alimjaribu Ibrahim, ukawa huna pakushika, kila tawi unaloshika linakatika. Ukadai eti nyakati zilikuwa tofauti na watu walikuwa wanafanya ibada tofauti, ili kusapoti argument yako ukaja na aya kwenye Quran.

Kitu simple kabisa nkakufahamisha kuwa Sifa ya Mungu sio Ibada, ni SIFA na wala sio SHeria.

Sasa mi huwa naishangaa imani yako, mpaka najiuliza, inabidi Mungu alikuwa hamjui Ibrahim mpaka akamjaribu? 😀 😀 😀
 

wee hujui kwamba hujui [emoji15] [emoji12] Mungu ni yule yule ambaye aliwawezesha wanadamu waishi miaka 900 leo umeng'ang'ania uishi miaka 900 wakti si zama zake [emoji15] njoo madrasat nuur bahari jannat kwa shehe Kidevu upate ilimu ghaibu...ni-pm kwa maelekezo [emoji120]
 
😀 😀 😀 Najiuliza, umejibu kitu gani katika nlichokuuliza? 😀 😀 😀
 


Mbona umechomoa aya moja wakati zipo katika mfululizo?
 
Kwann Mungu haoni??.

Dameski =Damascus=Syria.

Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...

Mungu mwenyewe amesema haya
Hakuna machafuko Damascus! Ni Raqqa na Allepo
 
Eti ukristo unaingia nchi za kiarabu, what a naive coment!
 
Linapokuja swala la kujoji uwepo wa Mungu huwa nashika adabu zote! Ukitaka ajionyeshe kuwa yupo, basi anaweza kujionyesha kwa njia ambayo hutaipenda!
 
Kwann Mungu haoni??.

Dameski =Damascus=Syria.

Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...

Mungu mwenyewe amesema haya
Na ile Hiroshima na Nagasaki zinapatikana kwenye kifungu kipi cha biblia?!
 
Mwisho wa dunia unaanzia Syria vita yake
Tunzeni kumbu kumbu yangu
 
hizo story za Sodoma na Gomora ni hadithi za uongo. Mungu hayupo
 
Mungu anaona, kama anaona mpaka chini ya dunia sembuse juu ya dunia,ila hapo Mungu sio msababishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…