Hahaha. Mkuu wapi wanakopesha hizo pesa nikachukue na mimi aseetunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao
Jealousy is a weak emotion. It is a female trait FYI.tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao
HahahahaMkuu Wa mkoa wa Kilimanjaro amekataza sherehe za kufahari, atakayekamatwa faini milioni sita Kwa kila mshiriki, onyo mtaaarifu Mchanga yeyote unayemjua