Kinachoendelea Moshi, Hakuna Hali Ngumu

Kwani kuna tatizo gani mtu kutumia kipato chake halali kufanya sherehe?
Magufuli ana ugomvi na mafisadi,majizi na wakwepa kodi na sio raia wafanyao sherehe kwa jasho lao

Kule saa 11 watu wameshamka wanasaka pesa! ukijua kutumia jua kutafuta.
 
Una mali za kuwekea rehani mkopo!? Wachaga wana majumba/mali za kuweka rehani ili kupata mkopo, na wakipata mkopo hawachezei hela mkopo "vigodoro", bali inapelekwa kwa biashara then faida kiduchu ndio "mchemsho" na mengineyo

Haaaaaaaa! Hela ya mkopo tena unachezea vigodoro hakika huchomozi.
 
Wavivu wa kifikra kujituma na wanaotegemea madili pekee ndio wanaoongoza kwa kulalamika na hali ngumu lazima iwe juu yao.
 
Umoja na Undugu ndio siri.
Uchakarikaji pasipo kudharau kazi ndio siri.
Sala na Ibada ndio siri.

Hata dhoruba iwe kubwa vipi haiwezi kuyazidi tajwa hapo juu.
Hilo la ibada ni kweli kabisa. Sehemu yoyote Tanzania alipo mchagga, lilkija swala la ujenzi wa nyumba ya ibada wanakuwa mstari wa mbele sana. Kwenye imani yao, ule usemi wa "toa ubarikiwe" wamezingatia.
 
Wakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu

Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.

Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?

Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Nenda moja kwa moja useme ulichokiacha badala yake ukauzunguka mbuyu. Jiamini utoe ya rohoni kwako ila ya mikoa mingine 24 usiyaseme sana kwani hakuna unayoyaelewa kila pembe ya mikoa hiyo
 
Wakuu, Amani iwe nanyi!!
Nimekuwepo Kilimanjaro kuanzia mwanzoni mwa Mwezi huu wa December.
Na bahati nzuri nimeyaona maisha ya kijamii kabisa ya wachagga...
Nchi yetu raia wanalalamika sana kuwa hali ni ngumu kila kona, lakini hawa jamaa wa huku sivyo kabisa, nilitegemea kuona mkwamo wa sherehe msimu huu

Lakini mambo yamekuwa tofauti kabisa, wachagga bado wanafanya masherehe makubwa kabisa, Harusi nyingi zinafanywa kwa sherehe kubwa kubwa kabisa, ubarikio na ubatizo bado vinafanyika kwa masherehe.

Hawa watu wao wanapata wapi pesa za kufanya yote haya tena kipindi hiki! Ambapo kila mtu analalamika pesa haionekani?

Tuseme ndiyo Magu kashindwa kuwabana vizuri hadi wanaendelea na matumizi ya aina hii?
Fanya kazi kwa bidii uone kama mwaka utaisha ukilalamika hali ni mbaya! Tatizo wengi wameshajilaani kuwa hawawezi!
 
laki si pesa., post: 24800783, member: 305198"]tunawajua hao ikifika desemba wanakopa pesa na kuazima magari ya kwenda kuoshea kwao[/QUOTE]
Akili za watu wavivu utazijua tu
Utaendelea kubaki maskin hivohivo
 
Huku kila MTU anachakarika, kukikucha tu saa kumi na moja tunadamkia kazi, saa nne mtu ushaingiza Pesa yako mfukoni, unaenda kutoa lock kidogo afu mishe zinaendelea,
Hatusubiri Magufuli atuletee maendeleo bali maendeleo huletwa na sisi,
Siasa zetu ni za kiharakati CHADEMA.
Hatuna nidhamu ya woga,
Tunajiwezaaa...
Mkuu hizo sherehe ni ndogo ndogo njoo kuanzia tarehe 20 DEC uone Hummer zimepaki huku migombani.

PROUD TO BE CHAGGA.
pigeni kazi nanii na punguzeni fitina ya kutuitia Magufuli.
Big up mkuu
Hawa wavivu wanatuonea sana wivu
 
Back
Top Bottom