Kinachoendelea kampuni ya mwendokasi

Hili li project nalo ni la kitapeli tu.. Mradi gani wa hovyo hivi. Hata mbumbumbu wa masuala ya menejimenti ya usafiri unaweza kufanya vema kuliko hawa jamaa wa UDART!
 
Pesa zote za uendeshaji wa kampuni wamefanyia usajili. Ndio hapo utaona watu walivyo wajinga kukosa kujua hata basic economic concepts.

Mtu anatoa mamilioni ya hela ambayo hayana ROI unategemea nini?
Udart haiendeshwi na serikali, serikali wana shea minority ila ktk uendeshaji hawapo kabisa.
 
Back
Top Bottom