Kinachoendelea Kalenga...

VISEKI

Member
Jan 5, 2014
8
9
killichofanyika usiku huu:
-Mabalozi wa ccm wamepita kuandikisha watu ambao awana shahada lengo kuna shaada zaidi ya 5000 ambazo ni feki zimetengenezwa CHADEMA tuko makini katika uchaguzi huu kuliko mnavyo zania tumejipanga kuwakamata watu awa kila kituo kina mawakala zaidi ya kumi tukibaini halali yetu na tumejipanga vijiji vyote usiku huu wakuamkia kesho tutakaye mkamata pia anaujumu kitaeleweka hapo
-kuhusu swala la kutumia chopa siku ya uchaguzi mpango uko pale pale kwani jimbo la kalenga ni kubwa sana na mgombea wetu lazima akague vituo vyote 216 pia kuwasambazia chakula mawakala wetu.
Ushindi kesho ni asubuhi na mapema
TULIANZA NA MUNGU TUNAENDELEA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
 
Good move wish you all the best . What happened in Meru land will also happen in Kalenga.
 
Jeshi la polisi limejipanga kuipa ccm ushindi, tunaapa, tupo tayari kupoteza maisha tukitetea haki, kura zetu zitarindwa na sisi wenyewe Chadema, tangu lini jeshi la polisi mshirika wa ccm, akalinda kura za Chadema zikawa salama, heri kufa kishujaa ukipigania haki, kuliko kuishi ukishuhudia uhuni ukiendelea kufanywa na ccm, hatuko tayari, Mungu atuongoze.
 
Ni kweli makamanda simamieni kila move za hao majambazi vingnevyo haki na maamuzi ya wanakalenga vitapokwa na hao wauaji.
Hakikisheni hamfanyi fujo ili mlinde wajibu wenu kistaarabu ila wakimwaga mboga nyie mwageni ugali mpaka kieleke.
 
mimi niwataarifu. kuwa visingizio vingi, mara polisi, mara mabalozi, mara chopa imezuiwa, lkn mmeinvest sehemu ambayo siyo sahihi. propaganda za mitandaoni hazisaidii wapiga kura wako majumbani kwao sasa hivi wamejipumzisha na siri wanayo wao.
 
killichofanyika usiku huu:
-Mabalozi wa ccm wamepita kuandikisha watu ambao awana shahada lengo kuna shaada zaidi ya 5000 ambazo ni feki zimetengenezwa CHADEMA tuko makini katika uchaguzi huu kuliko mnavyo zania tumejipanga kuwakamata watu awa kila kituo kina mawakala zaidi ya kumi tukibaini halali yetu na tumejipanga vijiji vyote usiku huu wakuamkia kesho tutakaye mkamata pia anaujumu kitaeleweka hapo
-kuhusu swala la kutumia chopa siku ya uchaguzi mpango uko pale pale kwani jimbo la kalenga ni kubwa sana na mgombea wetu lazima akague vituo vyote 216 pia kuwasambazia chakula mawakala wetu.
Ushindi kesho ni asubuhi na mapema
TULIANZA NA MUNGU TUNAENDELEA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
Mmeanza sababu ccm kushinda nilazima halafu aliyewaambia kwamba kituo kimoja mnaweka mawakala10 ndo vurugu tunazo zikataa na chopa hazikubaliki kesho,kama mmejipanga vurugu jeshi la police limejipanga sana kukabiliana na vurugu vilivyo na lipo imara.
 
Mungu awatangulie sana awape ujasiri wa kupambana na hira zote zao mabazazi majangiri wau za unga hawana hakikufanya watakacho
 
Kwa hiyo unafanya ushoga kwa kuwa haupati mimba.Copy Matola

Mashoga si nyie unauliza maswali wakati jibu unalo! EBooh changu wewe vipi?? Sasa una MCC kigori mwenzako ili iweje?? Matola bado anakuja fadhila za shemeji; siku nyingine cc wanaume waliokamilika kama Chama
 
Last edited by a moderator:

una bahati ya kuzaliwa Tanzania, Kaguta angeaanza na wewe.Nimemcopy kwa kuwa upo nae, si unaona hata taarifa zake unazitoa
 
Mwenye bahati ya kuzaliwaTanzania ni wewe; mtoto kiume umetoga masikio unavaa kata ----- hivi una la kujadiliana na kisiki kama chama?
 
killichofanyika usiku huu:
-Mabalozi wa ccm wamepita kuandikisha watu ambao awana shahada lengo kuna shaada zaidi ya 5000 ambazo ni feki zimetengenezwa CHADEMA tuko makini katika uchaguzi huu kuliko mnavyo zania tumejipanga kuwakamata watu awa kila kituo kina mawakala zaidi ya kumi tukibaini halali yetu na tumejipanga vijiji vyote usiku huu wakuamkia kesho tutakaye mkamata pia anaujumu kitaeleweka hapo
-kuhusu swala la kutumia chopa siku ya uchaguzi mpango uko pale pale kwani jimbo la kalenga ni kubwa sana na mgombea wetu lazima akague vituo vyote 216 pia kuwasambazia chakula mawakala wetu.
Ushindi kesho ni asubuhi na mapema
TULIANZA NA MUNGU TUNAENDELEA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
Kama mmejipanga kwa kila kitu jumapili tusikie mnatoa lawama baada ya matokeo kutangazwa, amkawii kusema tatizo ni daftari la wapiga kura, mara Usalama wa Taifa wameiba kura.
 
Mwenye bahati ya kuzaliwaTanzania ni wewe; mtoto kiume umetoga masikio unavaa kata ----- hivi una la kujadiliana na kisiki kama chama?
Mkuu chama

Nazi mbata hiyo inaitaji kukunwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom