Kinachoendelea Kalenga...

Enyi wehu na machizi wa Chadema eleweni kitu kimoja Chadema kushinda Kalenga ni sawa na shoga kupata mimba; tungeni hadithi zote CCM ushindi lazima!

Mwehu na chizi ni yule atakaye mchagua mgombea wa CCM ambae ametoka uwingereza kuja kuwatawala wanakalenga kama mwingereza alivyo toka uwingereza akaja kuitawala Tanganyika.
 
Mwehu na chizi ni yule atakaye mchagua mgombea wa CCM ambae ametoka uwingereza kuja kuwatawala wanakalenga kama mwingereza alivyo toka uwingereza akaja kuitawala Tanganyika.

Wewe utakuwa chizi wa mwisho hizi akili zenu za kisonono zinahitajia toba ni janga kwa taifa
 
killichofanyika usiku huu:
-Mabalozi wa ccm wamepita kuandikisha watu ambao awana shahada lengo kuna shaada zaidi ya 5000 ambazo ni feki zimetengenezwa CHADEMA tuko makini katika uchaguzi huu kuliko mnavyo zania tumejipanga kuwakamata watu awa kila kituo kina mawakala zaidi ya kumi tukibaini halali yetu na tumejipanga vijiji vyote usiku huu wakuamkia kesho tutakaye mkamata pia anaujumu kitaeleweka hapo
-kuhusu swala la kutumia chopa siku ya uchaguzi mpango uko pale pale kwani jimbo la kalenga ni kubwa sana na mgombea wetu lazima akague vituo vyote 216 pia kuwasambazia chakula mawakala wetu.
Ushindi kesho ni asubuhi na mapema
TULIANZA NA MUNGU TUNAENDELEA NA MUNGU NA TUTAMALIZA NA MUNGU
God of waisraeli, God of Africans, God of blacks and whites, God of mbingu na ardhi, God of Watanzania and God Of me and my family be With You Brothers and Sisters?
 
Wewe utakuwa chizi wa mwisho hizi akili zenu za kisonono zinahitajia toba ni janga kwa taifa
zako ni za gonorrhea la kurithi kutoka kwa babu wa mababu mpaka kwako na familia yako....schwine kabisa wewe!
 
Mwenye bahati ya kuzaliwaTanzania ni wewe; mtoto kiume umetoga masikio unavaa kata ----- hivi una la kujadiliana na kisiki kama chama?

Mkuu naona unelezee yale unayoyafanya na kwa kuwa biashara matangazo endelea.
 
Chopa tatu mkashinda kata tatu kati ya 27 za uchaguzi wa udiwani. Hamjaridhika mnaendelea kutumia kodi za wananchi kuzunguka na chopa katika uchaguzi ambao mmeshashindwa hata kabla ya kuanza. Chadema wahurumieni watanzania.
 
Mkuu naona unelezee yale unayoyafanya na kwa kuwa biashara matangazo endelea.

Wewe endelea tu kujianika mtoto wa kiume kuwa changu haipendezi hata kidogo; hivi unapata starehe gani kuruhusu kipande cha mnyama cha mwanaume mwenzio kiingie maungoni mwako?? Laaana gani nimekupata binadamu wewe??
 
killichofanyika usiku huu:
-mabalozi wa ccm wamepita kuandikisha watu ambao awana shahada lengo kuna shaada zaidi ya 5000 ambazo ni feki zimetengenezwa chadema tuko makini katika uchaguzi huu kuliko mnavyo zania tumejipanga kuwakamata watu awa kila kituo kina mawakala zaidi ya kumi tukibaini halali yetu na tumejipanga vijiji vyote usiku huu wakuamkia kesho tutakaye mkamata pia anaujumu kitaeleweka hapo
-kuhusu swala la kutumia chopa siku ya uchaguzi mpango uko pale pale kwani jimbo la kalenga ni kubwa sana na mgombea wetu lazima akague vituo vyote 216 pia kuwasambazia chakula mawakala wetu.
Ushindi kesho ni asubuhi na mapema
tulianza na mungu tunaendelea na mungu na tutamaliza na mungu

kumbuka usilitaje bure jina la bwana mungu wako hasa kwenye ushetani wa chadema !
 
Mtoa mada kashtue na supu kwanza maana Jana ulikuwa tinga sana na pombe! Pole sana Wale watoto hawajafikia umri wa kupiga kura! Endeleeni kuota! Baada ya Kalenga njoo na Chalinze halafu make mpige mahesabu mjue chama kinadaiwa bei gani na viongozi wenu.
 
Enyi wehu na machizi wa Chadema eleweni kitu kimoja Chadema kushinda Kalenga ni sawa na shoga kupata mimba; tungeni hadithi zote CCM ushindi lazima!

pole sana , yule mkimbizi asahau ubunge ni bora angetumia mda wake kuwaosha vikongwe kule kwa malkia kuliko kupoteza mda huku.
 
Chopa tatu mkashinda kata tatu kati ya 27 za uchaguzi wa udiwani. Hamjaridhika mnaendelea kutumia kodi za wananchi kuzunguka na chopa katika uchaguzi ambao mmeshashindwa hata kabla ya kuanza. Chadema wahurumieni watanzania.

We sungura kipofu, kati ya cdm na ccm nani anatumia kodi za wananchi? Au shule ulienda kujaza darasa? Cdm lini ilipewa mandate ya kukusanya kodi ktk nchi hii? Huoni aibu kupost vitu vya uongo? Wanaotumia kodi ya wananchi hovyo ni ccm kwani hao ndio wenye mandate ya kuongoza nchi.
 
Wewe endelea tu kujianika mtoto wa kiume kuwa changu haipendezi hata kidogo; hivi unapata starehe gani kuruhusu kipande cha mnyama cha mwanaume mwenzio kiingie maungoni mwako?? Laaana gani nimekupata binadamu wewe??

huwa huna watusi mengine?haya haya kila siku!
 
Niwapendeacho hawa wapendwa maneno yao ukiyasikia ni kama mkuki. Lakini ikifika J3 unaweza jiuliza hivi waliokua wanaongea ni wao au vinywa vimewekwa Super Glue. Ni lazima mmenywe Kalenga pelekeni vibaka wa Tanzania nzima lakini kipigo kipo palee palee!
 
Back
Top Bottom