Kinachoendelea Kalenga...

Kinachoendelea Kalenga...

pole sana , yule mkimbizi asahau ubunge ni bora angetumia mda wake kuwaosha vikongwe kule kwa malkia kuliko kupoteza mda huku.

Subiri kesho atakuosha wewe mwana mwari kigori
 
chadema jifunzeni ustaarabu tuwape nchi laa sivyo mtaishia kuchonga tu milele ,
 
Hata msingizie vipichadema leo ni kichapotu uhuni wenu tumeuchoka jana yule mama yenu katoa rushwa watu wakamdabua jaribu uhuni huo wa kuhonga watu mtaipata.
 
Ngoja nisepe make mada hii kumbe imejaa matusi tu kweli bavicha ni tatizo.
 
Kweli ushindi ni lazimaaa
 

Attachments

  • 1394948446353.jpg
    1394948446353.jpg
    130.2 KB · Views: 114
chadema wapigwe tu. wakome ubishi. hiki chama nakichukia sana
 
chadema wapigwe tu. wakome ubishi. hiki chama nakichukia sana

malezi yako hayakuwa mazuri utotoni, madhara yake yanaanza kujitokeza sasa. manake mwenye akili timamu hawezi kuuchukia ukombozi.
 
chadema wapigwe tu. wakome ubishi. hiki chama nakichukia sana

Ngoja maumivu yakuingie mkuu hasa kwa yaliyowapata Mwanza jana.... poleni sana kwa aibu ya jana afadhari mmejifunza kitu. Kama mwanza mlikotegemea mambo yamekuwa hivyo je Arusha au Moshi au Musoma itakuwaje !!!!?
 
Back
Top Bottom