usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,905
- 13,874
mic ikizimwa iringa itawaka motoKaenda na Ali Kiba
mic ikizimwa iringa itawaka motoKaenda na Ali Kiba
Hela ya maji elf kumi ukizingatia na leo ni sikukuu lazma wajae kweli team ujanja unjaj wanacheza na akili za watu
basi sawaTsh 10000
Mweeeeh watu mnatokwa na mapovuKaenda na Ali Kiba
Nakanusha!! Nipo Iringa muda huu.... Hadi magari yanaingia watu wanakosaje pa kusimama? Hizi promo
instot watu wameenda kwa ajir ya mondKwn pale Samora ameenda DIAMOND pekee ake???? Fikiri kiundani kabla ujaposti kitu.....
Picha Zinagoma Kufungua
Kaenda na Ali Kiba
Acha uongo wewe kiingilio buku ten... Af uwanja bado mweupeee mi ndio mlinzi wa uwanja wa samora utanambia nini.... Onaga aibu JF si watu wamchezo mchezo, tupo kila idara... Kugaya kinu mwagito peelu ela vaasa pambele leke tusindilebure mkuu
Ulongage fyenye ukweliii Veyaaaa utanage huva mudesiiiii! Ulimulinsi gani wihwa ni simu sihu yondaa....angi pasangapi wigita kasi!!!! Tanagage hudetaaaa.....tilongage ukweliiiii Vanu volofu sweeeee...Acha uongo wewe kiingilio buku ten... Af uwanja bado mweupeee mi ndio mlinzi wa uwanja wa samora utanambia nini.... Onaga aibu JF si watu wamchezo mchezo, tupo kila idara... Kugaya kinu mwagito peelu ela vaasa pambele leke tusindile