Kinachoendelea Iringa Samora, Diamond hii ni kufuru!

Picha Picha, Nikiwa Kagongo Chigoma Huku Kwenye Kambi Ya Wakimbizi Nawafuatilia Mzuri Kabisa
 
Nakanusha!! Nipo Iringa muda huu.... Hadi magari yanaingia watu wanakosaje pa kusimama? Hizi promo
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mashemeji zangu watoto wa kariakoo mnatia huruma! Najiskia niwachane ili mnuneeee

Naona hizi shoo za mwisho wa mwaka tumewashikisha adabu

Sisi ndio WCB we get it custom, nyinyi watoto wa kariakoo you are just customers..

Kasi tunayokuja nayo sasa nawashauri mjenge fensi pale kariakoo! Ila msisahau WCB we digging tunnels.. You will be surprised when we get the money right up under you..


# WCB # WinnersCycle
 
Nakanusha!! Nipo Iringa muda huu.... Hadi magari yanaingia watu wanakosaje pa kusimama? Hizi promo
Screenshot_2016-12-25-23-49-11.png
Hapo Gari zinaingilia Wapi???? Acha uongo akati mwishooo kule watu wanasukumana kama Mbele huku
 
Jamani hii shoo ya Ali "K" imehudhuriwa na waandishi wa habari au washabiki?
 

Attachments

  • 121stg.jpg
    121stg.jpg
    82.6 KB · Views: 48
  • Thanks
Reactions: MC7
Acha uongo wewe kiingilio buku ten... Af uwanja bado mweupeee mi ndio mlinzi wa uwanja wa samora utanambia nini.... Onaga aibu JF si watu wamchezo mchezo, tupo kila idara... Kugaya kinu mwagito peelu ela vaasa pambele leke tusindile
Ulongage fyenye ukweliii Veyaaaa utanage huva mudesiiiii! Ulimulinsi gani wihwa ni simu sihu yondaa....angi pasangapi wigita kasi!!!! Tanagage hudetaaaa.....tilongage ukweliiiii Vanu volofu sweeeee...
 
Back
Top Bottom