Kinachoendelea Iringa Samora, Diamond hii ni kufuru!

Kinachoendelea Iringa Samora, Diamond hii ni kufuru!

Mashemeji zangu watoto wa kariakoo mnatia huruma! Najiskia niwachane ili mnuneeee

Naona hizi shoo za mwisho wa mwaka tumewashikisha adabu

Sisi ndio WCB we get it custom, nyinyi watoto wa kariakoo you are just customers..

Kasi tunayokuja nayo sasa nawashauri mjenge fensi pale kariakoo! Ila msisahau WCB we digging tunnels.. You will be surprised when we get the money right up under you..


# WCB # WinnersCycle
Nilipigwa na bumbuwazi kuwa Nifa na WCF wapi na wapi?
Nikahisi nimekutana na meli Airport!
 
Beach party na Iringa ni rasha rasha tu huu mwaka 2016.
Bado 2017 new year mambo matamu yaja tukae mkao wa kula.@Wasafi make great bongoflavar again-2017.
2017 now tunakimbilia U.S.A.
 
Kwa Taarifa zilizo nifikia tokea Iringa Samoraa ni kuwa Kwa Sasa uwanjaa ni Umejaaa hamna hata Sehemu ya kukanyagaaa! Huenda show Ikaahirishwa Kutokana na Wingi wa Watu! Kinacho Endelea ni Polisi kuongezwa kwa ajiri ya usalamaa na watu wanazidi kuingiaaaa!!! Watu wanahoji hapa na pale ni kuwa Diamond ana nini...huenda hii show kesho tukasikia Mengine! Nitaendelea kuwajuza kinacho endelea

Hii ilikuwa Sound check sio kwamba Show imeanzaView attachment 450303
Kwa hiyo io ndo kufuru.?
 
Ally naye aweke zake tukumbukie mwaka jana mambo ya 'mafuriko, tsunami, utitiri'............... wapi Mzee Masako.
 
Wakati WCB wanatengeneza fwedha,wale muziki mzuri wanabishia kujaa kwa washabiki,kama vile wana mgao wao iwapo mashabiki hawajai.
 
Nifah yupo wapi.? huwa napenda sana anavyowaponda WCB, ingawa yeye mwenyewe kimoyomoyo anajua WCB ndo wafalme halisi.
 
Back
Top Bottom