Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

Hivi ni lazima awe yeye rais? mbona kila uchwao Lowasa Lowasa Lowasa ..... kwa kweli mnakera sana kama vile nchi hii haina viongozi wengine wachapa kazi na wasio na kashfa. Huyu mtu wenu kama mnampenda sana mkanywe nae chaiiii...
 
Hivi ni lazima awe yeye rais? mbona kila uchwao Lowasa Lowasa Lowasa ..... kwa kweli mnakera sana kama vile nchi hii haina viongozi wengine wachapa kazi na wasio na kashfa. Huyu mtu wenu kama mnampenda sana mkanywe nae chaiiii...
our presdent is Lowassa
 
Sijui nani kamkataza aongee hadharani? Kuna tuhuma nyingi dhidi yake kama angekuwa ni muongeaji angeita waandishi wa habari na kujibu tuhuma zote dhidi yake kwa kina. Hana la kuongea ni mbabaishaji tu na hana majibu ya tuhuma zote dhidi yake yake hivyo ameona ni bora auchune tu.



siri ya nini, EL ni mpuuzi Fulani tu, mpaka akishgulikiwa ndo anatishia kusema ukweli basi ni fara Fulani tu ambaye hana mapenzi na TZ bali tumbo lake na familia yake
 
This is a hard fact!
Lowassa ana siri kubwa moyoni

Lowassa amekuwa kiongozi mkubwa katika taifa hili. Mazuri aliyoyafanya yalionekana na yataendelea kukumbukwa. Kama binadamu hawezi kukosa kasoro hapa na pale, ndio asili ya maisha na kuishi kwa binadamu yeyote.

Kilichokuja kukumbana na bwana huyu katika utendaji wake kama Waziri mkuu na sakata lililolitesa taifa la RICHMOND.
Toka wakati huo Lowassa ameonekana kama shetani, msaliti na fisadi mkubwa wa taifa hili.

Najiuliza ukweli hapa ukoje?

Nijuavyo mradi wa RICHMOND which was a MULT BILLION SHILLINGS CONTRACT, hauwezekani ukamhusu Lowassa pekee. Ni lazima cabinet yote ilihusika hatua kwa hatua hadi final conclusion yake.
Kum-single out MTU mmoja kwa jambo ambalo wengi wanapaswa kuwajibika, Its just not fair!

Kwa kauli ya Mkuu wa Nchi, hili kwa Lowassa lilikuwa ni ajali tu, (MANENO HAYA HAKUTAMKA KWA BAHATI MBAYA)

Lakini hata Lowassa mwenyewe kwa kauli yake siku ya kujiuzulu alitabanahisha kuwa anajiuzulu ili "KUKILINDA CHAMA CHAKE NA SERIKALI YAKE", Bila shaka kwa makosa haya ambayo yaneweza kukigharimu chama na serikali yake!

Leo anapigwa vita hadi ndani ya chama hicho alichokiokoa

Najiuliza siku akiamua nayeye kufunguka, Itakuwaje?

Kabla hajafunguka atakuwa AMEUAWA au atauziwa kesi ya viungo vya albino.....Hahaa ha ha haaaa!....umeicheki hiyo!
 
mnasumbuka bure; watu wamechoka kuongowa na serikali ya ccm na siyo Lowasa au Pinda nk. Sababu ziko wazi.Ukosevu Wa ajira huku ufisadi ukishamiri;rushwa kwenye Huduma mbalimbali ;kupanda kwa maisha na tofauti kati ya walionacho na wasionacho.Kama Hali ilivyo sasa haitabadililka hadi siku Ya uchaguzi;huenda wananchi wakafanya maamuzi magumu dhidi Ya ccm
 
Mimi ninadata na ushahidi wa Ufisadi na Madudu ya Lowasa. Yeye asimame tu na aseme lolote analolona juu ya habari hiyo iliyotolewa kwenye post au kokote.

Haiwezekani kama mtu unaamini uko msafi kias hicho then ukae kimya tu(wakati uko kwenye mbio za nafasi muhimu kama ya Urais).

A man can not dare talk whatever about these scandals. Ni ama mhusika mkuu au muwezeshaji mkuu wa mambo haya.

Ninayo mengi mno juu ya issues hizi. Naahidi kuzitoa(hata kama hatasikama kujibu).
 
Tangu mbuge wa Monduli Edward N. Lowassa ajiuzilu amendelea kunyamaza kimya isipokuwa pale alipoiambia NEC ya CCM ukweli kuhusu ukweli wa Richmond. "Mwenyekiti nini ambacho nimekifanya ambacho haukifahamu?"

Baada ya Lowassa kufunguka kwenye NEC watu wengi sana wakazinduka usingizini na kupata mwanga kuhusu Richmond. Baada ya hapo Edward aliendelea kunyamaza kimya, huku viongozi wengine ndani ya chama chake wakiendeleza harakati za chini kwa chini kumchafua mtumishi wa Mungu

Leo hii ndani ya chama watunzi wa nia hii ovu dhidi ya Edward naweza kusema tena kwa ujasiri kwamba hawako pamoja tena! Hii ni kwa sababu walipanga nia yao ikiwa ovu leo hii wenyewe kwa wenyewe wamebaki kuwa panya na paka.

Kinacho kuja sasa ni ile simulizi ya kweli kuhusu Samsoni na Delilah. Lile Jumba kubwa la Wafilisti(CCM) wakikosea tu hatua linaenda kudondoka kwa maovu walioridhia wenyewe kushiriki. Uovu huu umewatafuna sasa takriban miaka Saba.

Leo taasisi nyingi zimebaki na kilio kimoja tu. Lowassa alipokuwa madarakani mambo yalisonga mbele na uzembe wa watendaji wengi serikalini ulikuwa wa nadra sana.

Ushauri wa bure kwa CCM watanzania wanamuhitaji Lowassa wao. Msijaribu kuweka zengwe wanaojidai wanapendwa na watanzania wapelekeni wote kwenye mbio za nyika washindane atakaeibuka mshindi huyo ndiyo chaguo la watanzania.

Ushauri kwa Edward najua chama chako unakipenda sana, bali Watanzania, ni muhimu kuliko chama chako. Watakapokuhitaji popote pale uwaongoze kwenda kwenye nchi yenye asali na maziwa, Edward usisite. Leo wengi wanakuunga mkono kimya kimya hata miongoni mwa mafahidhina. Hili unalifahumu vizuri sana.

Edward endelea kuwa mvumilivu na hii bila Shaka unajua limukujenga. Hata madaraka hata Mungu akikukabidhi endelea na uvumilivu wako. Hili limekuwa funzo kwa wengi.
 
Na ss ni kumshawishi atangaze nia mapema ili alitumikie taifa hili ktk kiti cha juu zaidi ya ubunge na uwaziri. Ni mtu shupavu anaweza akafanya maamuzi na kuyasimamia
 
Na hili somo la uvumilivu yaelekea alifaulu Sana chuoni.sijawahi kuona wala sitarajii kuona kiongozi mvumilivu kama Lowassa.mimi binafsi hili somo uvumilivu sina.lowassa anapaswa kupewa nchi
 
Jk anahangaika Sana kumzuiya Lowassa ila ninachojuwa huwezi kuzuiya mkuki kwa kipande cha kanga.lazima mkuki uzame ndani
 
Na hili somo la uvumilivu yaelekea alifaulu Sana chuoni.sijawahi kuona wala sitarajii kuona kiongozi mvumilivu kama Lowassa.mimi binafsi hili somo uvumilivu sina.lowassa anapaswa kupewa nchi
Ni kweli kabisa, sasa analazimika kuanza kozi ndefu ya somo la uadilifu ambalo halijui kabisa
 
Ni kweli kabisa, sasa analazimika kuanza kozi ndefu ya somo la uadilifu ambalo halijui kabisa

kama ukifutailia kwa huo umakini ulionfuatilia lowassa ukagunduwa siyo muadilifu hata mkeo utakuta siyo muadilifu.Lowassa ndiye rais wa tano wa Tz
 
Ni kweli kabisa, sasa analazimika kuanza kozi ndefu ya somo la uadilifu ambalo halijui kabisa

Hakuna mtu muadilifu kwenye dunia hii, Slaa amekosa uadilifu kwa kupora mke wa mtu. Mbowe si muadilifu kwa kuchepuka na mbunge wake wa viti maalum,
 
Naona watu wanacheka kwa kujitekenya....
 
Back
Top Bottom