Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

Nimekua nikimfuatilia huyu mzee kwa muda sasa tangu watu waanze kumininika huko Monduli na Dodoma kwa malengo yao binafsi.

sina chuki kabisaa n amzee huyu hasa ukizingatia Sauti ya Umma ni sauti ya Mungu.

Jambo moja ambalo nimeligundua kwa muda mfupi kwa mzee huyu nikwamba hajui namna nzuri ya kuzungumza na jamii yake....amejawa jazba na kejeli kwenye hotuba zake.

Mara nyingi amekua mtu wa kukoseakosea maneno pindi azungumzapo na mbaya zaidi hulamba midomo yake.

kitendo hiki sio cha mtu anaeandaliwa kuwa raisi...naomba wasaidizi wake mjipange kwa ilo na mumpe mazoez ya kutoa hotuba ndefu kama za masaa ,mawili hivi na kuendelea...this is from internal source.

Nawasilisha
Amewahi kusema "Without education you can not improve poverty".
 
Wewe afya yako ipoje? mbona mlituambia mwaka 2005 kuwa Jakaya K. ana Ukimwi, mbona hadi leo yupo na anadunda Ikulu?
Wivu wa kike tu huu..

Kwanza kila mtu ni mgonjwa hapa duniani, ni kwa kuwa tu hujapima....

Njaa yako kali sana mpaka inakupumbaza na unashindwa kuona na kufikiri!!
 
Sasa ana nyamaza kumlinda nani na anafanya ivo kwa manufaa ya wananchi au nan
Kiongozi mwenye uchungu na taifa hili ni kiongozi anaependa kuuweka ukweli hadharani ili kila mtu ajue sasa kwa ukimya alinao tuamini sio yeye aliyehusika na richmond au amekaa kimya kiwatetea watu wachache
 
Hivi watu wanavyomfuata lowasa agombee wanamaanisha au wanafuata posho?
 
Hajui kuongea iv lowassa utamlinganisha na aliesema Zitto is whoo?sory unataka aongee kama anatongoza ndio ujue kwamba anajua kuongea au?
 
Alianza kupiga dini tangu alipomzidi Malecela akamgeuza ----
 
Leo magazeti yote yana habari za Lowassa , imefikia ukimya sasa basi, kamtolea uvivu Nape, nako ka Nape kanasema kwa kuwa amesitisha zoezi la kupokea wageni washawishi hana neno tena.
 
duuuh hata mm hilo nawaza sana juu ya huyu rais ajaye.....afanye mazoez ya kuongea kwa mpangilio mzuri wa maneno na mawazo..
 
Mkuu Toothpick, silence yake ndio silaha yake kubwa na ndio karata yake ya mwisho!.

Wenye akili zao, wameishaelewa!, hebu mfuatilie JK, na Kinana kama wana udhubutu wa kumtaja EL!, hao wanaotaja taja ni wajinga wajinga tuu wasio elewa who's the real one behind Richmond!, EL ni mbebaji tuu wa mizigo ya watu!.
Kimya kingi kina mshindo mkuu, subirieni 2015, kama CCM ina jeuri ya kutomteua, itakuwa ndio imemwaga ugali, naye atamwaga mboga, msioelewa ndio mtaelewa!.

Hivi mtu mwenye akili zake timamu hawezi kujiuliza, kama huyu mtu amejiuzulu kwa kashfa, anawezaje tena sio kuutaka urais, bali hata kuufikiria tuu huo urais?.

Pasco

Pasco katika ubora wake!!
Mi nimekuekewa!
 
Lowasa hata kuwa raisi na haita tokea,hana sifa.na hata yeye mgombea anajua hata nyie wapambe mnajua,kuwa kutoa pesa ili uende ikulu ni hatari ila hamkati tamaa.mbona imebaki miezi michache ngoja atakavyo pata depression baada ya mchujo,hawezi kuteuliwa haita tokea jaman mbona hamuelewi nyie wenyewe mnaempigia debe mmehogwa,mtu anakodi masela anazuga wachungaji,ha ha ha ukisikia futuhi lowasa kiboko
 
This is a hard fact!
Lowassa ana siri kubwa moyoni

Lowassa amekuwa kiongozi mkubwa katika taifa hili. Mazuri aliyoyafanya yalionekana na yataendelea kukumbukwa. Kama binadamu hawezi kukosa kasoro hapa na pale, ndio asili ya maisha na kuishi kwa binadamu yeyote.

Kilichokuja kukumbana na bwana huyu katika utendaji wake kama Waziri mkuu na sakata lililolitesa taifa la RICHMOND.
Toka wakati huo Lowassa ameonekana kama shetani, msaliti na fisadi mkubwa wa taifa hili.

Najiuliza ukweli hapa ukoje?

Nijuavyo mradi wa RICHMOND which was a MULT BILLION SHILLINGS CONTRACT, hauwezekani ukamhusu Lowassa pekee. Ni lazima cabinet yote ilihusika hatua kwa hatua hadi final conclusion yake.
Kum-single out MTU mmoja kwa jambo ambalo wengi wanapaswa kuwajibika, Its just not fair!

Kwa kauli ya Mkuu wa Nchi, hili kwa Lowassa lilikuwa ni ajali tu, (MANENO HAYA HAKUTAMKA KWA BAHATI MBAYA)

Lakini hata Lowassa mwenyewe kwa kauli yake siku ya kujiuzulu alitabanahisha kuwa anajiuzulu ili "KUKILINDA CHAMA CHAKE NA SERIKALI YAKE", Bila shaka kwa makosa haya ambayo yaneweza kukigharimu chama na serikali yake!

Leo anapigwa vita hadi ndani ya chama hicho alichokiokoa

Najiuliza siku akiamua nayeye kufunguka, Itakuwaje?

EDWARD LOWASSA.
This is the right time.......!

All Ears to Hear are on and for you!

MISS NO TARGET Mr President!
 
Mkuu Toothpick, silence yake ndio silaha yake kubwa na ndio karata yake ya mwisho!.

Wenye akili zao, wameishaelewa!, hebu mfuatilie JK, na Kinana kama wana udhubutu wa kumtaja EL!, hao wanaotaja taja ni wajinga wajinga tuu wasio elewa who's the real one behind Richmond!, EL ni mbebaji tuu wa mizigo ya watu!.
Kimya kingi kina mshindo mkuu, subirieni 2015, kama CCM ina jeuri ya kutomteua, itakuwa ndio imemwaga ugali, naye atamwaga mboga, msioelewa ndio mtaelewa!.

Hivi mtu mwenye akili zake timamu hawezi kujiuliza, kama huyu mtu amejiuzulu kwa kashfa, anawezaje tena sio kuutaka urais, bali hata kuufikiria tuu huo urais?.

Pasco

The words that speaks the Truth, and nothing but the Truth!

Only waiting to hear from the Horse mouth!
 
2005.. niliamini kikwete atafanya mabadiliko kuleta maendeleo.. my hope was seized. natamani niwe na imani na Lowasa lakini nina ogopa ,ategemeo yangu yatazimwa tena. lakini kama kuna ka Mwanga nitajaribu kufufua matumaini tena.
 
Tuliza Mzuka mkuu! Tumaini lako liko malangoni mwako.!
 
Back
Top Bottom