lowassa ni Mtendaji.
lowassa ni mgonjwa hawezi kuongea labda mumtafutie vidonge vya hamu ya kuongea
Nga'la ni jina la mamako au? Mxxxxx
Lowassa apewe viagra ya ulimi ili aweze ongea
Hakuna mahali aliposhirikiana na wahalifu MH na jemadari wa vita ya umaskini Edward Lowassa
Binafsi napenda kiongozi asiye muongeaji hovyo hovyo.
Haya yooooote uliyoandika ni siasa!! na mimi sio mwanasiasa!! hiyo sentensi ya mwisho ndiyo point ya msingi!!! mafisadi hawakubaliki tanzania na duniani kote.Acha ujinga wewe pimbi. Ni wewe ndio uwe mwelewa. Una lazima ufisadi wa Richmond kwa Lowasa na mbona huwaongelei kina escrow ya 1.6bilion but unamngangania tu Lowasa. Shame on you. Sakata la escrow halina tofauti na Richmond. Mbona Lowasa awajibishwe na si Picha? Kuna nini kama sio chuki zenu Maembe. Ujumbe wangu kwa ko ni kwamba MUNGU ni wa haki siku zote. Endeleeni kumchafua Lowassa ili muweze kulipa kodi ya nyumba. La msingi ni kwamba watanzania sio wajinga tena.
This is a hard fact!
Lowassa ana siri kubwa moyoni
Lowassa amekuwa kiongozi mkubwa katika taifa hili. Mazuri aliyoyafanya yalionekana na yataendelea kukumbukwa. Kama binadamu hawezi kukosa kasoro hapa na pale, ndio asili ya maisha na kuishi kwa binadamu yeyote.
Kilichokuja kukumbana na bwana huyu katika utendaji wake kama Waziri mkuu na sakata lililolitesa taifa la RICHMOND.
Toka wakati huo Lowassa ameonekana kama shetani, msaliti na fisadi mkubwa wa taifa hili.
Najiuliza ukweli hapa ukoje?
Nijuavyo mradi wa RICHMOND which was a MULT BILLION SHILLINGS CONTRACT, hauwezekani ukamhusu Lowassa pekee. Ni lazima cabinet yote ilihusika hatua kwa hatua hadi final conclusion yake.
Kum-single out MTU mmoja kwa jambo ambalo wengi wanapaswa kuwajibika, Its just not fair!
Kwa kauli ya Mkuu wa Nchi, hili kwa Lowassa lilikuwa ni ajali tu, (MANENO HAYA HAKUTAMKA KWA BAHATI MBAYA)
Lakini hata Lowassa mwenyewe kwa kauli yake siku ya kujiuzulu alitabanahisha kuwa anajiuzulu ili "KUKILINDA CHAMA CHAKE NA SERIKALI YAKE", Bila shaka kwa makosa haya ambayo yaneweza kukigharimu chama na serikali yake!
Leo anapigwa vita hadi ndani ya chama hicho alichokiokoa
Najiuliza siku akiamua nayeye kufunguka, Itakuwaje?
siri ya nini, EL ni mpuuzi Fulani tu, mpaka akishgulikiwa ndo anatishia kusema ukweli basi ni fara Fulani tu ambaye hana mapenzi na TZ bali tumbo lake na familia yake
Kama kwa Muhongo JK aliomba muda ajilidhishe, itakuwa kwa WAZIRI MKUU EL??? kwa tabia ya JK kujiridhisha nina imani alijiridhisha kabla ya kumpiga chini EL, leo atasema nini hadharani??? alijaribu kusema tatizo la CCM ni uongozi, makamba akambana akasema wa kata ya mto wa mbu, heheheheheh mtu mzima sio jasiri wa mambo ya umma, ni jasiri wa wizi tu
Lowassa anashindwa kutokana na ujinga wake wa kujifanya mstaarabu kwenye masuala yasiyohitaji ustaarabu.
Mtatukana sana safari hii ila kwetu sisi vote hunting project ni endelevu.......Lowassa apewe viagra ya ulimi ili aweze ongea
Mtahangaika sana ila safari ya matumaini inasonga mbele kwa kasi kubwa sana..... mamlaka ya Mungu mwachie Mungu wewe fanya ya kaisariLowasa ni mgonjwa Kama mjuavyo wagonjwa hawapaswi kusema Sana
Mkuu labda nikukumbushe tuu kwamba EL hakupigwa chini bali alijiuzuru, kujiuzuru ni ku-respond kwa kuguswa na sakata zima hata hivyo hii isifanye jamaa ahukumiwe kiviile. Kwahiyo ni bora hao ambao hawajiuzuru ili waendelee kuonekana wasafi?
Mkuu hapa umemkosea sana EL, sasa nikuambie miongoni mwa wazalendo wa nchi hii ni EL, kuwahi kuitafuta pesa kwa kufanya biashara isiwe dhambi. Mpaka sasa hivi mmeshindwa kutengeneza katiba bora ya namna viongozi wanaweza kuendesha biashara zao pasipokuwa na mgongano wa kimaslahi. Nahisi kama ni kosa kubwa basi ni yeye kuwahi kufanikiwa kifedha. Kafanya mengi sana mazuri hata kuliko hao wanaojiliza bungeni bila hata kuchukua hatua. EL ni mtu jasiri na mwenye kufanya maamuzi magumu, labda nikujulishe kuwa miongoni mwa watu wanaokubaliwa na wanyonge ni EL. Sishabikii siasa ila huo ndio ukweli na ikitokea akateuliwa basi jua kazi itakuwa nyepesi sana ccm kuliko wengi mnavyodhali. Hakika huu ni ukweli unaouma.