Ukweli mpaka hivi sasa Lowasa hajafunguka na kama kweli anautaka Urais naamini WaTanzania watampa na safari yake yake itakuwa nyepesi tu pale atakapo amua kufunguka na kuweka wazi mambo yote hadharani kuwa ni nini kilijiri katika sakata nzima la Richmond.
Otherwise, mpaka dakika hii ni kuwa bado amejiweka 'kizani' mwenyewe huku umma ukiwa bado haumwelewi. Hivyo ningekuwa mshauri wake ningemwambia wazi kuwa umma unahitaji maelezo ya kinaga ubaga 'bila ya chenga chenga 'ajisafishe' kwanza na watu wapime...iwapo kama kweli ana matamanio ya kwenda mahala patakatifu 'ikulu'.