Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

Kinacho muangamiza Lowassa ni Ukimya wake!

Mwenye kujua kupamba maneno aende bongo star search
 
Afya yake ina mgogoro ndio maana anazungumza kwa taabu, wapambe wake hawataki kukubali tu!!
 
I support EL....die hard fun of him...!!!

Hili ni WAZO zuri....ni kweli....Team EL should embrass this piece of an ADVICE..

This is true...and +ve advice....na ipokelewe kwa mikono miwili...!!!

1: Awe anaongea.bila kukata kata maneno....apunguze speed ya kuongea kidogooo...!!

2: Awe ana face camera with more more eyes widely open more confidently,

Hii ni muhimu sana....EL 2015...

I welcome this advice...!!!
 
Duh hana kipaji ana papara sana ambayo wapenzi wake wanaita maamuzi magumu.
 
Tulishaongozwa mpaka na wataalamu wa lugha na wengine wapwani mabingwa wa kiswahili nchini, lakini kilichotokea wote tunakijua..
Nchi mpaka leo haina mbele, nyuma wala katikati wenyewe huwa wanaiita nchi changa..

Any way kama tungekua tunataka raisi anae zungumza vizuri basi tunge mchagua gadna g habashi
 
Kila mtu ana namna yake ya kuzungumza, kuna watu wana kigugumizi, kuna watu wanaongea kwa mkato, kuna watu wanaongea kwa kutamka na kuruka maneno, sasa hizo jazba siyo jazba kama wewe unavyotafasri, ni namna ya kuzungumza tu na ndivyo alivyo, kuna vitu huwezi kumbadilisha mtu kwa sababu ndivyo alivyozaliwa na ndivyo alivyo.

Kulamba midomo is nonsense! ulitaka alambe pua? kumbuka mtu akiongea mdomo huwa kama vle unapauka hasa hii inategemea na sehemu uliyopo kwa mfano mikoa ya Mbeya, Iringa, Singida, Dodoma na wilaya ya Ngorongoro kule wasso na Loliondo..


Ulishamuona Prof, Kabudi akiwa anaongea? ile ndo alivyo ....
 
Tusipochambua kwa Makini tutamuingiza Lowassa kama tulivyomuingiza Kikwete...


Be carefully guy zaidi ya kusimimamia utekelezaji nini cha zaidi alichonacho Lowassa ... Mimi naona the best seat for him ni u-PM tu and not more than that.

Rais anatakiwa awe na quality nyingi sio moja tu ndio ifanye awe Rais.
 
Lowassa anaongea kama mdomon hana meno...labda awe rais wa watu wenye nyere nyeupe!!
 
Afya yake ina mgogoro ndio maana anazungumza kwa taabu, wapambe wake hawataki kukubali tu!!

Wewe afya yako ipoje? mbona mlituambia mwaka 2005 kuwa Jakaya K. ana Ukimwi, mbona hadi leo yupo na anadunda Ikulu?
Wivu wa kike tu huu..


Kwanza kila mtu ni mgonjwa hapa duniani, ni kwa kuwa tu hujapima....
 
Lowassa hajawahi ongea point yyt ikanivutia, hana mvuto ktk kuongea kwake
 
Back
Top Bottom