Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Mkuu Toothpick, silence yake ndio silaha yake kubwa na ndio karata yake ya mwisho!.
Wenye akili zao, wameishaelewa!, hebu mfuatilie JK, na Kinana kama wana udhubutu wa kumtaja EL!, hao wanaotaja taja ni wajinga wajinga tuu wasio elewa who's the real one behind Richmond!, EL ni mbebaji tuu wa mizigo ya watu!.
Kimya kingi kina mshindo mkuu, subirieni 2015, kama CCM ina jeuri ya kutomteua, itakuwa ndio imemwaga ugali, naye atamwaga mboga, msioelewa ndio mtaelewa!.
Hivi mtu mwenye akili zake timamu hawezi kujiuliza, kama huyu mtu amejiuzulu kwa kashfa, anawezaje tena sio kuutaka urais, bali hata kuufikiria tuu huo urais?.
Pasco
Silaha yake ya Mwisho ni kukaa kimya. Ile kanuni ya "keep them in suspense of terror"
Lakini sasa anaonekana opportunist tu
Ataulizwa mbona hakusema siku zote ?Ataonekana anajitetea tu