- Thread starter
- #21
Mkuu Toothpick, silence yake ndio silaha yake kubwa na ndio karata yake ya mwisho!.
Wenye akili zao, wameishaelewa!, hebu mfuatilie JK, na Kinana kama wana udhubutu wa kumtaja EL!, hao wanaotaja taja ni wajinga wajinga tuu wasio elewa who's the real one behind Richmond!, EL ni mbebaji tuu wa mizigo ya watu!.
Kimya kingi kina mshindo mkuu, subirieni 2015, kama CCM ina jeuri ya kutomteua, itakuwa ndio imemwaga ugali, naye atamwaga mboga, msioelewa ndio mtaelewa!.
Hivi mtu mwenye akili zake timamu hawezi kujiuliza, kama huyu mtu amejiuzulu kwa kashfa, anawezaje tena sio kuutaka urais, bali hata kuufikiria tuu huo urais?.
Pasco
Mkuu Pasco, Kwa kinachoendelea ndani ya watawala na utawala USISHANGAE hiyo 2015 isifike!
EL kashasalitiwa hata na RAFIKIYE!
Lowassa ajiulize hata wakiamua na wakafanikiwa kum-terminate (stricto senso), ana lipi la kuacha nyuma yake zaidi ya alikuwa fisadi, mvurugaji, msaliti, mhujumu n.k?
Man, They say, NIP THINGS IN THE BUD!