Kina nani walipata "first classes" UDSM shule ya sheria?

Asikwambie mtu, kupata first class udsm si kitu rahisi haijalish kozi gan na ukipata bas msuli wake ulikuwa si wa kitoto...nashangaa vyuo vinavyotoa first class ovyo mfano chuo cha iringa unaweza kuta half of students darasan wana first class [emoji23][emoji23][emoji23] udsm mpaka lecturer akupe first class au A basi umemshawish ipasavyo thus being the best uni hasa kwenye sheria kinatoa product za maana...binafsi nimesoma udsm tena msuli wa nguvu ila nimeambulia gpa ya 3.6 [emoji28][emoji28]
 
Mkuu hiyo ni technical education hivyo huwezi compare na basic science

Wote watu wa CoICT na COET hawawezi wekwa mzani mmoja na college kama CONAS na COAF.
Unataka kumaaniaha basic science ni ngumu kuliko applied science?
 

Huyu unayemsifia atakuw ani tapeli tu.

BREAKING NEWS: WAKILI DK. RINGO TENGA KIZIMBANI KWA KOSA LA UHUJUMU UCHUMI - Full Shangwe Blog
 
haumjui mkuu, nyamaza, kwa kifupi ni kwamba hakuna wakili asiye tapeli, hata hao unaowaamini ni matapeli wa kutupa, ukikua utakuja kuelewa. ndo maana huwa nawaonea huruma sana nyie msiosoma sheria jinsi mnavyotuamini ati "nina mwanasheria wangu", ungelijua sanaa ya sheria na namna wakili anavyoweza kung'ata pande zote mbili na kwamba yupo pale kwa ajili ya fedha na si huruma, ungefukuka macho na masikio. hata hivyo hamna jinsi ila kutuhitaji tu katika hii dunia. but as kwa tasnia hi kwa bongo, usimguse Tenda, ana heshima yake mwache kama alivyo.
 
mukandala alikuwa anatumbia ili akupe A uandike kitu ambacho yeye hakijui.
 
M
Tambo za kihehe hizi ndauli bee mwagito
 
Jamani hv Giggy money hakupata first class kwel coz nasikia enzi zake pale Udsm alikuwa vizur sana upstairs.
 

Kuna Mwamba tulikuwa nae UDSM tulikuwa chimbo moja la misuli muda wote alitoka na First class Bsc in Geology
 
Dr Harrison Mwakyembe

Mh Tundu Antipasi Lissu
hao uliowataja hawakupata first class. kwa kawaida jua kuwa ukipata first class udsm huwa unabakishwa kufundisha, na hao hawakukidhi vigezo hivyo. kama ulisoma udsm law utakuwa umenielewa, ila kama upo kule juu sociology, hutaelewa.
 
List imejaa professorial level rubbish
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…